raia mwema

Raia Mwema
Raia Mwema is Tanzania's Kiswahili newspaper specializing in investigative and analytical journalism.
  1. Pongezi kwa Raia Mwema (Mtoa Taarifa) na Mkuu wa Mkoa wa Tabora

    Pongezi ziwafikie raia mwema (jina kapuni) na Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Timu yake ya Usalama kwa ushirikiano wao jana 5 Oktoba, 2024 ambapo, Saa 9.56 jioni nilipokea ujumbe wa simu kutoka kwa raia mwema mzalendo (jina kapuni) kuwa kwenye gari la abiria (bus) linalojulikana kama Kisbo lenye namba...
  2. Hatma ya Raia kuzuia Polisi kuwakamata raia kuwapeleka vituo vya polisi wakihofia kutekwa

    Hali ya raia kuzuia polisi kukamata watu nchini Tanzania ni jambo linaloweza kuashiria mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala na usalama wa raia. Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio kadhaa ambapo wananchi wamejitokeza kuzuia polisi wasiwakamate watu, ikiwemo waandamanaji...
  3. Ewe Raia mwema wa Tanzania usidanganyike, tii Sheria bila shuruti, zingatia wito na uamuzi wa Mahakama na Wananchi kwa hekima na busara

    Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.. Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa...
  4. P

    Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

    Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi. Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii...
  5. Mahakama yawaachia huru Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake wawili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam imeifuta Kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp iliyokuwa ikimkabili Mwandishi wa Habari za Afya na Uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Uamuzi huo wa...
  6. Kesi inayomkabili Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake kuendelea kusikilizwa Novemba 29

    Mchakato wa kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili Mwandishi wa Habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo inatarajiwa kuendelea Novemba 29, 2023. Usikilizaji wa mashahidi katika kesi hiyo...
  7. P

    Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi Saed Kubenea limekosa mvuto

    Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi SAID Kubenea limekosa mvuto. Rostam anapenda sana kununua magazeti critical. Gazeti limekosa mvuto; kila siku kuwashambulia CHADEMA na Magufuli; Tunajua kubenea anachuki na chadema baada ya kukimbilia ACT Wazalendo.
  8. Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika kumwandaa Mtoto kuwa Raia mwema Mtandaoni?

    Kuanzia hatua za awali katika ukuaji, Watoto wanapaswa kufundishwa Haki, Wajibu na Hatari zinazoweza kutokea wasipotumia vizuri Majukwaa ya Kimtandao. Huwajengea hali ya Uwajibikaji na Tabia Njema zinazowafanya kuwa Raia wema wawapo Mtandaoni. Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika...
  9. G

    Gazeti la Raia Mwema, kulikoni?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu, siku za karibuni ni kama limejiunga na machawa. Kila wiki lazima ziwepo habari za kusifia rais na Serikali yake kama vile wameshuka kutoka mbinguni. Hata mkongwe Generali ameangukia humo. Je, na utamu wa asali au kwa vile rais ni "mwenzetu"?
  10. Mashahidi 9, vielelezo 10 kutumika katika kesi ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema

    Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
  11. Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo. Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...
  12. M

    Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

    Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990. Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.
  13. Raia Mwema: DPP Biswalo mambo magumu kutokana na fedha za Plea Bargain

    "D
  14. Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  15. Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi. Chanzo: Raia Mwema Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
  16. T

    Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  17. J

    Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

    Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The...
  18. Gazeti la Raia Mwema: Je, kuna ajenda ya udini?

    Wakuu, Gazeti la Raia Mwema lilikuwa ni mojawapo ya magazeti makini sana Kwa kuandika makala yakinifu zenye kujenga sana. Ajabu ni kuwa Siku za Karibuni Kwa hali isiyokuwa ya kawaida gazeti hili Kila siku ni ku report kuhusu migogoro ya dini na madhehebu fulani. Hakuna dini wala dhehebu...
  19. Q

    Raia Mwema: Umoja Party chahusishwa na Team Magufuli

  20. J

    Shaka Hamdu Shaka: Gazeti la Raia Mwema ni waongo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…