raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Raia wa Sweden kuchoma Kitabu Kitukufu. Je, kukosa heshima kwa Kitabu Kitukufu inawahusu wao peke yao?

    Kitendo hiki cha kuchoma Qurani kilitokea katika siku ya kwanza ya sikukuu kuu ya Waislamu ya Eid al-Adha. Kitendo hiki kililaaniwa sana kama "kitendo cha chuki" na "dharau" kwa kitabu kitukufu cha Allah. Swali langu Je lipi ni tendo baya zaidi kukifanyia kitabu cha Mwenyezi Mungu kati ya...
  2. Sheria zinaruhusu uchinjaji wa mifugo kwenye maeneo ya Ibada kisha kugawiwa hovyo kwa raia?

    Siku mbili nyuma nimeshuhudia tukio ambalo serikali imelikalia kimya ila lingeweza kuleta madhara makubwa sana kwa Jamii. kondoo zaidi ya mia 4 zimechinjwa bila kufuata taratibu za kiafya na kisha kugawiwa kwa raia! Je, hii mifugo ilikuwa salama kiafya haikua na magonjwa yoyote? serikali...
  3. Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi. Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa. Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
  4. Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

    Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
  5. Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

    Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni...
  6. SoC03 Nafasi ya uzalendo katika kuimarisha Utawala Bora

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi wa jamii inayofanya kazi vizuri na yenye ustawi. Inajumuisha kanuni kama vile uwazi, uwajibikaji, utawala wa sheria, na ushiriki wa raia. Ingawa kanuni hizi ni muhimu kwa utawala bora, jukumu la uzalendo halipaswi kupuuzwa. Uzalendo, upendo na kujitolea kwa...
  7. Kama Raia tafadhali naomba kujua hizo Sheria 12 za TISS zilizopitishwa Kimya Kimya na Bunge linaloendelea sasa

    Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
  8. DR-Congo: Tunataka maelezo kwa Majeshi yaliyoua raia wetu 10 jijini Khartoum

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeitaka Serikali ya Sudan kutoa maelezo kuhusu shambulio hilo lililofanywa katika eneo linalokaliwa na Wananchi wasio na Silaha ikiwemo raia wa kigeni kutoka mataifa mengine na kusababisha majeruhi. Waziri wa Mambo ya Nje, Christophe...
  9. Al-Shabab waua wanajeshi 54 raia wa Uganda

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema mauaji yametokea katika shambulizi la Al-Shabab kwenye kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika Nchini Somalia. Wiki iliyopita Museveni alisema kumetokea vifo vya Waganda lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusu shambulio hilo dhidi ya wanajeshi hao...
  10. Video: Waasi wa Urusi waagiza raia waondoke Belgorod kwa sasa hadi mpambano uishe

    Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa..... Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....
  11. Chadema jibuni hizi hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Raia (MMKR)

    Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni...
  12. Ni fedheha Serikali kujinasibu kukusanya bil 291 kupitia utalii huku ikichangisha raia maskini pesa na tozo kandamizi

    Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291? Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha kuhudumia mashule na kujenga matundu ya vyoo. Unajinasibu nini?
  13. Hii Tanzania una shida gani? Niko mbioni kubadilisha kuwa Raia wa canada

    WASAIDIZI WA RAIS WAJITATHIMINI HARAKA. Na Thadei Ole Mushi. Rais Samia anawezekana anaitakia hii nchi Mema sana ila wanaomzunguka na washauri wake haswa wa Uchumi wakamwangusha. BOT wameweka limit na masharti kibao kuhusu watu kutoa fedha za Kugeni kwenye Account zao. Tafsiri yake ni kwamba...
  14. Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  15. F

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
  16. Dar: Raia wa Marekani afungwa miaka 20 jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kiasi cha kilo 2.188. Taarifa iliyotolewa leo Mei 27, 2023 na Mamlaka ya Kudhibiti na...
  17. Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi. ======= Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest. The governor of...
  18. IGP Komesha wauaji ya raia au hadi samia aseme na wewe?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetangaza ‘dau’ la Sh1.5 milioni kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya Juliana Lukono (51) aliyeuawa na wasiojulikana wilayani Magu. Mauaji ya mwanamke huyo yanadaiwa kutokea usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2023 alipokuwa akiishi katika Kijiji...
  19. Tanzania imefanya raia wake kuwa watumwa

    ,,,,,,,,,,,
  20. Wajir: Askari Wanyamapori waua raia wawili kwa risasi, wananchi walipuka

    Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir. Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni. Mauaji hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…