raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Hivi kwa nini polisi wanatutesa Sana sisi ndugu zao (raia)

    Habari za mchana ndugu zangu, Hawa polisi mbona wanatunyanyasa na hawakemewi na serikali. Juzi pale mataa ya ubungo walimkamata jamaa kwa kupaki bajaji sehemu isiyoruhusiwa, kwa kuwa walikuwa wamevaa kiraia jamaa aliwaomba kitambulisho maana walitaka wampeleke kituoni. Cha ajabu polisi mmoja...
  2. R

    Kwanini raia wa kigeni wanapewa kadi za NIDA na pasipoti za Tanzania?

    Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata. Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na Pasipoti za Kigeni lakini siku hizi Wana Pasipoti za Tanzania kwenye makampuni Yale Yale na TRA taarifa...
  3. The Sheriff

    Je, Unatambua Wajibu Wako Mtandaoni Kama Raia wa Kidigitali?

    Wajibu wa Raia wa Kidigitali inamaanisha uhusiano mzuri ulipo kati ya watu na mwingiliano wao mtandaoni. Hii ina maana kuwa nadhifu mtandaoni, kufanya matendo yanayofaa, na utayari wa kuwajibika kwa matendo binafsi mtandaoni. Wajibu huu unamaanisha maadili ambayo mtu anapaswa kuonesha...
  4. BARD AI

    Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
  5. J

    60% ya Raia Barani Afrika hawapo Mtandaoni

    Afrika ni eneo liliounganishwa na Intaneti kwa kiwango kidogo zaidi, ikielezwa takriban 60% ya Raia hawapo Mtandaoni. Hii inatokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama, Ujuzi kuhusu matumizi yake pamoja na uhaba wa Miundombinu unaokwamisha ufikiaji wa Huduma hiyo. Barani Afrika na Duniani...
  6. Pang Fung Mi

    Askari adaiwa kuvunja raia miguu_chanzo mapenzi

    Mwanza. Licha ya hila za askari polisi kutaka kumfichia siri mkuu wao, jitihada binafsi za Hidaya Somba zilisaidia kutambua alikofichwa mwanaye, Mohamed Khatibu (29) aliyekamatwa akiwa nyumbani kwao kwa tuhuma ambazo hazikubainishwa na alipofuatiliwa ikaelezwa hayupo mikononi mwa polisi...
  7. M

    Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

    Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
  8. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  9. Notorious thug

    Mfahamu Hemry Ozoemena Ugwuanyi, Raia wa Nigeria aliyekamatwa na kilo 15 za Heroine

    Hemry Ozoemena Ugwuanyi(Marehemu) huyu bwana alikua anaishi hapa nchini toka 2017 alikua anaendesha kanisa lake ila nyuma ya Pazia alikua muuzaji mkubwa wa Madawa ya kulevya alikua anaishi mtaa wa Pemba Kariakoo. Kukamatwa kwake Linda Mazule Raia wa Latvia alikamatwa Uwanja wa Ndege wa...
  10. M

    Picha: Kiongozi wa ACT Wazalendo akijifanya mwema kwa raia kumbe ni mchumia tumbo tu

    Anatafuta kick
  11. JanguKamaJangu

    DRC: Wanajeshi 8 wahukumiwa kifo kwa kuua raia wawili wa China

    Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa DRC wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu. Kati ya waliopatikana na hatia kati yao kuna Kanali Mukalenga Tendeko na Kayumba Sumahili. Wanajeshi wengine watatu ambao walikuwa wamehukumiwa hadi kifungo cha miaka 10 jela...
  12. Notorious thug

    Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

    Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza. Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
  13. Analogia Malenga

    Mwaka 2025, nitakuwa Raia wa Marekani rasmi

    Nina kitambulisho utaifa cha NIDA ambacho kitakachoisha mwaka 2025 ambapo automatic nakuwa sio mtu wa Taifa hili hadi ni-renew. Kutokana na michakato kuwa mingi ya kupata kitambulisho NIDA sitakuwa na muda wa kutafuta kingine hivyo inabidi nirudishwe nchini kwetu, Marekani ili nisiendelee kukaa...
  14. NetMaster

    Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  15. Roving Journalist

    Mashahidi 9, vielelezo 10 kutumika katika kesi ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema

    Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
  16. Idugunde

    Ni aibu kwa chama tawala chenye asili ya ukombozi kuwa na Wazee kama Yusuph Makamba ambao hawana huruma juu raia wanaoteswa na tozo na mgao wa umeme

    CCM ni chama kikubwa hapa Africa na dunia nzima. Bahati nimezunguka mahala pengi hapa duniani. Ulikiwa ukienda Botswana, Zimbabwe au hata South Afriaca ulikuwa ukikutana na raia wa huko lazima wakuukize juu ya CCM ya akina Hashim Mbita (RIP) maana kilikuww ni chama kilichojaa utu na nia thabiti...
  17. MamaSamia2025

    Kuheshimu katiba ni jukumu la kila raia. Malisa GJ na Joel Nanauka ni wahanga wa hili

    Ninaandika huu uzi nikiwa nimekwazwa sana na baadhi ya watanzania wenzetu wasiojali katiba inavyosema kuhusu uhuru wa watu wengine. Kumekuwa na uvunjaji mkubwa wa sheria kwa sisi wananchi wa kawaida na tukibanwa tunasingizia viongozi. Juzi kijana Joel Nanauka alipost kuomba kura za wajumbe...
  18. MK254

    Rais wa Somalia apata Ph.D ya ilmu ya dunia, raia wake wamuige ili pawe na amani pale

    Elimu ni kitu cha maana sana.... Somalia’s President Dr. Hassan Sheikh Mohamud has joined the club of Africa’s most educated presidents after attaining a Ph.D. in peace studies. Other presidents in Africa are William Ruto of Kenya, Alassane Ouattara of Ivory Coast, Moeketsi Majoro of Lesotho...
  19. MK254

    Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Raia huyo wa Iran bwana Hamidreza Mohammad Abraheh alidanganya uhamiaji kwamba ameoa Tanzania, kisha akaanza mipango yake ya hovyo kama kawaida yao...ila wamemshtukia na kumfurusha. Sielewi kwanini hawa watu wasiishi kwa amani dunia hii, wamuabudu 'mungu' wao kwa njia za amani bila kuwa kero...
  20. MK254

    Urusi waanza kuondosha raia kwenye mji wa Nova huku Ukraine wakijongea kuukomboa

    Wazalendo wa Ukraine wanaendelea kudhihirisha walivyo balaa, Urusi ilijipigia kura na kusema italinda hayo maeneo kwa namna yote, ila hilo halijawa tishio kwa hawa vijana wa Ukraine, wanaendelea kutiririka kama machizi. Russian authorities in the occupied town of Nova Kakhovka in eastern...
Back
Top Bottom