raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Kolo Toure raia wa Ivory Coast ateuliwa kuwa kocha Wigan Athletic

    Wigan Athletic wamemteua beki wa zamani wa Ivory Caost, Arsenal na Manchester City, Kolo Toure kuwa meneja wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 anachukua nafasi ya Leam Richardson baada ya kutimuliwa na klabu hiyo ya Championship mapema mwezi huu...
  2. BARD AI

    Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

    Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi. Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
  3. chiembe

    Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

    Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza. Kwa nini Lissu...
  4. M

    Raia wa Iran wanakaribia kuingizwa mkenge na mabeberu wa magharibi kama walivyofanyiwa raia wa Libya

    Kitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa wanawake. Hiki ni kitendo cha usaliti na ukosaji wa uzalendo wa hali ya juu mno! Wananchi wa Iran wanaelekea...
  5. Nyankurungu2020

    Taifa lolote linapokosa kiongozi mwenye msimamo thabiti na madhubuti raia wake huangaika hata kama kuna utajiri wa rasilimali

    Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana. Huko Afrika ya kati mataiafa kama Niger ni aibu kwa Africa yetu. Leo hii taifa kama Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali lukuki...
  6. Nyankurungu2020

    Dalili kuu kuwa wanaomizwa na kunyonywa ni raia maskini ni hii hapa

    Tozo za kila namna zinawaangukia wao. Hawana uwezo wa kumudu lakini watafanyaje sasa? Hawasikii miradi mipya ikianzishwa kwa ajili ya taifa lao. Ina maana pesa wanazokamuliwa zinakamilisha miradi ya zamani. Kuna genge la wana CCM wanaodai chama ni mali yao limewakalia vibaya wananchi, sasa...
  7. GENTAMYCINE

    Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  8. M

    Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

    Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990. Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.
  9. Tajiri Tanzanite

    Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

    Hapo vip!! Hapo vip!! Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha, ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka. Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria...niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
  10. MK254

    Hadi sasa Iran imeua raia 328 na kukamata 14,825 katika kuzuia maandamano dhidi ya duluma za kidini

    Maandamano yanaendelea, raia wa Iran wamekubali kuendelea kuuawa na serikali yao inayopambana kumpigania "mungu" wa waislamu. Hii yote ilitokana na tukio la mwanamke kuuawa kisa kipande cha nywele kilichomoza kwenye buibui kinyume na dini inavyoamrisha. Protests in Iran raged on streets into...
  11. Ex Spy

    Bukoba: Mwili wa Raia wa Uingereza aliyefariki kwenye ajali ya Precision Air wasafirishwa

    Mwili wa raia pekee wa Uingereza aliyefariki ndani ya ndege ya Precison Air, unasafirishwa leo kwa gari kuelekea Mwanza. Baadaye usiku wa leo, mwili huo wa Jonathan Rose, utasafirishwa kwa ndege kuelekea Dar es Salaam ambako mipango ya kuupeleka London, Uingereza inaendelea. Nimepata taarifa...
  12. L

    Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
  13. BARD AI

    Chato: Raia wa Burundi akamatwa na AK47 iliyotumika kwenye mauji ya mchimbaji madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema wanamshikilia raia huyo kwa tuhuma za kuingia Nchini kinyume cha Sheria na kumiliki silaha ambayo imekuwa ikitumika katika matukio ya uhalifu Kamanda amesema silaha hiyo ilitumika kwenye mauaji ya mchimbaji mdogo Tegemeo Rashid aliyeuwawa...
  14. Idugunde

    Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

    Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa. Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi? Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.? Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
  15. kagoshima

    IRIS-T limedungua cruise missle 44 kati ya 50 zilizorushwa na Urusi kwenye maeneo ya Raia na miundo mbinu

    Hilo dude hilo. missles 46 kati ya 50 zimechakazwa. zilikua zinalenga miundo mbinu na makazi ya raia
  16. JanguKamaJangu

    Malawi yabaini kaburi walipozikwa watu 25 ya raia wa Ethiopia

    Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe. Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
  17. 5

    Sasa ni zamu ya Urusi kuokoa raia wao katika mji wa Kharson, Ukrean inapania kuchukua jimbo la Kharson lilonyakuliwa na mavamizi

    Maelfu ya raia na maafisa walioteuliwa na Urusi wanahamishwa kutoka eneo la kusini mwa Ukraine la Kherson kabla ya mashambulizi ya Ukraine, anasema kiongozi wa eneo hilo aliyewekwa rasmi na Urusi. Vladimir Saldo alisema raia 50-60,000 wataondoka katika miji minne kwenye ukingo wa magharibi wa...
  18. Suzy Elias

    China imewataka raia wake waondoke Ukraine haraka

    Mamlaka za China zimewataka raia wake waliopo nchini Ukraine kuondoka mara moja na Serikali itaratibu mpango huo.
  19. MK254

    Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
  20. MK254

    Mpaka sasa Iran imeua wananchi 201 kwenye maandamano ya kupinga dhuluma za kidini

    Serikali ya Iran inaedelea kumpigania "mungu" wao kwa kuua wananchi, ila hao wananchi wamechachamaa, itabidi wafe wote. Watu wamechoka kulazimishwa dini na serikali, yanapaswa kuwa maamuzi ya binafsi. Protests in Iran are continuing despite a crackdown by security forces that one human rights...
Back
Top Bottom