Kunyongwa kwa magreth nduta raia wa kenya nchini Vietnam

Leonce jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2023
Posts
3,223
Reaction score
5,323
Habari.

Naomba kufahamu ni nini huyu mwanamama/dada alichokitenda huko nchi za watu mpaka kufikia maamuzi ya kunyongwa

Licha ya kuwa mkuu wa nchi kuomba petition ya kuzuia tatizo hilo bila mafanikio na imeekaeje kitaalamu na ni makosa gani ukiyafanya kwenye nchi za watu hupelekea kunyongwa mara moja??
 
Nimemuonea huruma sana.Hivi ruto kashindwa kumsaidia kabisa mwafrika mwenzetu?Kwa Nini kikwete aliweza kumnasua mwanae ridhi one kule china lakini ruto ashindwe?
 
Hivi na Jack nani alimnasua
 
Nimemuonea huruma sana.Hivi ruto kashindwa kumsaidia kabisa mwafrika mwenzetu?Kwa Nini kikwete aliweza kumnasua mwanae ridhi one kule china lakini ruto ashindwe?
Kumbuka KIWETE yule ni mwanae, inasemekana alitoa USHUZI wote wa Mtwara kwa wale wajuba wa Beijing...
Sasa huyu raia wa kawaida tu, bwana ruto unadhani atakubali kutoa mali ya taifa lake kisa raia wa kawaida tu?
 
Back
Top Bottom