raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. NostradamusEstrademe

    Asiye raia wa Tanzania lakini alizaliwa Tanzania anaweza kumiliki ardhi?

    Naomba adm msiiweke kule kwenye jukwaa la sheria kwanza ila kila mtu atoe mawazo yake kwanza. Kuna babu mmoja watoto wake wa kiume wote aliojaliwa wako Marekani zaidi ya miaka20 sasa. Walizaliwa Tanzania lakini wakahamia Marekani japo mara kwa mara wanakuja kumuona babu yao. Kwa kuzaliwa...
  2. Cannabis

    Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

    Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi. Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
  3. beth

    Ujerumani, Ufaransa zawataka raia wake kuondoka Ethiopia

    Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi. Ufaransa imewataka Raia wake kuondoka mara moja bila kuchelewa. Ujerumani nayo imetoa wito kwa Wananchi wake kuondoka Ethiopia. Marekani...
  4. beth

    #COVID19 China: UN yaitaka China kumwachia huru Raia aliyefungwa kwa kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia Covid-19

    Umoja wa Mataifa umetoa rai kwa China kumwachia huru Zhang Zhan (38) ambaye alihukumiwa kifungo baada ya kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia mlipuko wa COVID19. Zhang alisafiri kwenda Wuhan Februari 2020 ambapo aliripoti kuhusu janga la Corona kupitia simu yake ya mkononi. Alikamatwa Mwezi...
  5. Idugunde

    Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  6. Sky Eclat

    Picha ilipigwa 1895 Congo Raia wa Ubelgiji akivushwa mto na wapagazi

  7. Kasomi

    John Francis Raia Wa Marekani Aliyetembea kwa Miguu Miaka 22 Akiizunguka Marekani Kuhamasisha Utunzaji Wa Mazingira

    JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza chochote yaani bila kutoa sauti, kwa kawaida tu binadamu tunatofautia wengine hata sekunde moja...
  8. Suzy Elias

    Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  9. Emanuel Eckson

    RPC Arusha ahamasisha Raia kuendelea kusalimisha silaha

    #ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amewataka raia kuendelea kusalimisha Silaha zote wanazozimiliki kinyume cha sheria katika vituo vyote vya Polisi, Ofisi za Serikali za Mitaa, pamoja na Ofisi za watendaji wa Kata. Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021...
  10. Ms Billionaire

    Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  11. Analogia Malenga

    Mwaka 2020 askari polisi 13 waliuawa wakitekeleza majukumu ya kulinda raia

    Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi. Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa...
  12. beth

    WFP: Mamilioni ya raia wa Afghanistan hatarini kukumbwa na baa la njaa

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa Mamilioni ya Raia Nchini Afghanistan watakabiliwa na baa la njaa msimu wa baridi ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa. Imeelezwa, takriban watu Milioni 22.8 watakumbwa na uhaba wa chakula huku Watoto Milioni 3.2 chini ya miaka mitano...
  13. Analogia Malenga

    DR-Congo: Raia waandamana kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa ya Kinshasa ambapo waliharibu sanamu ya Rais Felix Tshisekedi Maandamano hayo yamekuja baada ya...
  14. GENTAMYCINE

    Nashauri Kambi zote za Jeshi zifungwe Camera Maalum na zisilindwe tu physically na Wanajeshi

    Na wasiishie tu hapo bali hata Raia ambao huwa wanaingia humo iwe kwa kwenda Kusalimia Ndugu au Kuona Wagonjwa wawe wanasachiwa vilivyo. Pia kuwe na tabia ya Wanajeshi Wenyewe kwa Wenyewe nao Kuchunguzana na kamwe wasiaminiane kwa 100% kwani sasa Dunia imeshaharibika. Kama Mzalendo leo nina...
  15. Faith

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi sita, kila alalapo huwa anakoroma sana yaani unaweza ukahisi ni mtu mzima huo mkoromo wake! Je, hii husababishwa na nini? Naweza kumsaidiaje mwanangu aache kukoroma alalapo, maana hata...
  16. K

    Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania. Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na...
  17. B

    RAIA 2,000 waPakistani waingia Kenya wakielekea Saudia

    Nairobi, Kenya Serikali ya Kenya imetangaza kuanzishwa kwa operesheni ya kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria raia wa kigeni ambao wako nchini bila kibali. Ingawa inafahamika raia wa kiPakistani wanaruhusiwa kulipia viza wanapowasili uwanja wa ndege au mipakani ikiwa na maana...
  18. kagoshima

    Si sahihi kufikiri eti komandoo akiwa mtaani ni kama raia wa kawaida

    Wastaafu wa jeshi hasa makomandoo wanapumzishwa tu kwa muujibu wa sheria lakini bado ni reserve army. Inchi ikiingia vitani wanaitwa wote na ukumbuke wanastaafu bado vijana, wenye nguvu na ujuzi wa kutosha. Kwahiyo siye raia tunaposikitika kwanini makomandoo wapiganaji wa nchi yetu tena wengine...
  19. L

    Umiliki wa ardhi uwe wa Mtu binafsi au kampuni binafsi (inayomilikiwa na raia). Tuachane na hii ya kumilikiwa na Rais

    Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
  20. OLS

    #COVID19 Kuagiza chanjo ya Covid-19 kabla ya kutoa elimu kwa raia ni matumizi mabaya(Misallocation)

    Mapokezi ya chanjo ya COVID19 nchin sio mazuri, mikoa mingi wana chanjo nyingi zimebaki na watu hawajitokezi kuchanja. Hali hii inataka nchi kujitafakari namna bora ya kuwashawishi wananchi ili wakubaliane na chanjo au waweke ulazima wa kupata chanjo hiyo kwa kuweka vikwazo mbalimbali kama...
Back
Top Bottom