raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
  2. green rajab

    Urusi imewataka raia wake wote waondoke mara moja Israel

    Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army BREAKING: 🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli airstrikes attacked the vicinity of Russia's Khmeimim base in Syria. In light of the extremely tense...
  3. W

    Raia Kenya: Nasema kufa dereva, kufa makanga na hashtag inapaswa kuwa #fagiawote

    Wananchi mbalimbali wakitoa maoni na hoja zao wakati wa zoezi la ushirikishwaji wa umma kuhusu hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua leo Oktoba 4, 2024 Aidha, Rigathi Gachagua atapaswa kujitetea Bungeni kwa muda wa Saa 2 ifikapo Oktoba 8, 2024 kwa tuhuma nzito za ufisadi...
  4. The Watchman

    SI KWELI Kongamano la kitaifa juu ya matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS limehairishwa

    Nimekutana na taarifa mtandao wa X juu ya kuahirishwa kwa kongamano la kitaifa juu matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS ambalo lilipangwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo plaza, je taarifa hiyo ina ukweli wowote?
  5. Allen Kilewella

    Msikilize Netanyahu anavyowatetea Raia wa Irani dhidi ya utawala wa Ayatollah

    Waziri Mkuu wa Israel ameongea kwa kutumia vyombo vya habari na wananchi wa kawaida wa Irani na kuwataka wananchi wa nchi hiyo kuachana ama kujitenga na utawala wa nchi hiyo. Msikilize. Benjamin Netanyahu
  6. Hypersonic WMD

    Kwanini Al jazeera huwa hawaoneshi video za Walestina wanaopinga Hamas?

    Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera! Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua https://youtu.be/5JJK0X7D82w?si=BsTgKOsUjPAt__gz
  7. econonist

    Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

    Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!. Mwenye jibu anisaidie.
  8. JEJUTz

    Siku nilipowashugulisha raia mtaani kwangu nilipokuwa mtoto

    Hii siku haitokaa niisahau abadan! Ilikuwa ni baada ya kushiba chakula changu cha mchana hapo home,huku nikifanya michezo ya hapa na pale. Ghafla nikakutana na kiberiti cha gesi nikakifuata na kukichukua. Ile zima washa zima washa ikanivutia nikaamua kwenda nacho mtaani. Kulikuwa na open...
  9. Beira Boy

    Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani Mbona wanawaumiza walebanon Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je...
  10. Webabu

    Mashule na maofisi jiji la bandari la Haifa vyafungwa.Maelfu ya raia wa Israel waingia kwenye mahandaki

    Jeshi la Israel limetoa ripoti yenye mkanganyiko baada ya Hizbullah kurusha maroketi mengi nchini humo. Katika taarifa mpya jeshi hilo limesema mashule yote katika mji wa Haifa yatabaki yamefungwa mpaka itakapotolewa tangazo jengine. Maelfu ya watu vile vile walilazimika kujificha kwenye...
  11. ngara23

    Haki za Raia (mtuhumiwa) mbele ya polisi

    Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana kuondosha uharifu Polisi hawapo juu ya sheria, wakikengeuka wanaweza kushtakiwa na mkono wa sheria...
  12. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  13. Abdul Said Naumanga

    TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  14. Yoda

    Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  15. GENTAMYCINE

    Kama Mtanzania ukiulizwa hili Swali na ama Raia wa Kigeni nchini au ukiwa Nje ya Tanzania utamjibu vipi?

    Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo. Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu? Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao...
  16. danhoport

    Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

    Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
  17. MIXOLOGIST

    Nawahoji nyinyi raia wenzangu; Kwani ni lazima kuita majina ya viongozi miradi iliyojengwa kwa kodi zenu?

    Kwa hasira kuu. Huu uchawa pro-max ukome. Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya kishamba yasiyo na swagger kila kona. TUMECHOKA...
  18. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  19. G

    Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  20. Numero Uno

    Raia wa kigeni kunufaika na fedha za walipa kodi

    Raia wa kigeni wanaocheza soka lakulipwa nchini kwanini wananufaika na fedha zetu walipa kodi, kwanini hizo fedha zisiebde kwa watoto wetu wachezaji wa mashuleni umiseta na umitashumta?
Back
Top Bottom