Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou wa Cameroon, amefariki dunia mjini Paris siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77.
Kulingana na Afrik-foot, kifo cha Hayatou kimethibitishwa na vyanzo kadhaa vya kuaminika, akiwemo mwenzake wa zamani Gerard Dreyfus na mwandishi...