Katika majukwaa mengi ya kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa kisiasa kutumia kauli kama “Rais hatukudai, bali tunakupongeza” kila wanapopata nafasi ya kuzungumza mbele ya Rais. Mara nyingi, baada ya kusema hivyo, huendelea kueleza matatizo makubwa...