Bunge la Seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limepitisha uamuzi wa kumuondolea aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, kinga ya kutoshitakiwa, hatua inayomfungulia njia ya kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma mbalimbali zinazomwandama.
Joseph Kabila, ambaye alirithi uongozi wa...