Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki...
Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM.
Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi.
Watu ni wengi sana.
Up dates;
====
WAZIRI JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA JIJI KUANDAA BANGO LA STENDI YA MAGUFULI
Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI...
Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali.
Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo.
===
MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI:
Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za...
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya...
Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu
Ansbert Ngurumo | 21st February 2021
Nimemsikiza Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu.
Kwanza, Magufuli...
Wakuu,
Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini.
Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''
Akizungumza katika misa ya mazishi ya Balozi Kijazi Katibu wa TEC father Kitima amesema wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona.
Father Kitima amesema ni vema wananchi wakachukua tahadhari zote...
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli
Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye.
Maendeleo hayana vyama!
1. Katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na marekebisho yake ya 30th April 2000 yananipa haki zote kama raia halali wa Taifa la Tanzania kuwa na mawazo huru juu ya jambo lolote ambalo halivunji sheria za nchi yetu.
Mimi kama Mtanzania tarehe 16 Februari 2020 nilianzisha uzi...
Habari zenu mabibi na mababu!
Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa kila mtu anapoambiwa au kusikia kuongezewa muda wa kutawala Rais magufuli anashikwa na ghadhabu na kutamani ata kumpiga mtu ngumi kutokana na ugumu wa maisha uliopo.
Sio watumishi wa Serikali, sio...
Nawasalimu katika jina la Muumba.
Kila Rais anapotamka jambo, au kipindi kingine anapogusia mada fulani kwa maoni au hata kutoa ushauri siku chache mbele Waziri mwenye dhamana na mada husika lazima atatoa kauli au amri ya kushinikiza jambo lifanyike kama alivyoshauri Rais bila hata ya kuchukua...
Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine.
Rais Magufuli amewataka viongozi wa CCM wamsaidie kufuatilia utendaji wa watendaji wake kwani wengine wanachelewesha maendeleo.
Rais Magufuli amesema yeye...
Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na Serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benki na kununua mabasi.
Rais Magufuli...
Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Hii kauli imemaliza...
Jana Mh Rais akiwa eneo la Kizota ukifungua nyumba za askari wa Magereza ulitamka kuna eneo wananchi wanafukuzwa na mapanga.
Ni kweli kabisa. Cha ajabu uongozi umekaa kimya na kuwapa wababe wenye silaha kuzidi kumega ardhi za wamama wajane na wakongwe waliostaafu.
Ardhi kwa maelekezo hati zao...
Anachokisema Rais Magufuli ni kwamba Watanzania tusipaparikie chanjo bali tuimarishe kinga zetu kwa kutumia tiba na njia za asili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu.
Nijuavyo mimi kitengo cha utafiti wa tiba za asili kimekuwepo tangu 1971 kabla hata ya hii NIMR iliyoasisiwa miaka ya 1980s na dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.