rais mnangagwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Rais Mnangagwa asaini sheria ya kujiongezea muhula wa kukaa madarakani. Hakuna tena Wananchi kushiriki kumchagua Rais

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesaini rasmi sheria mpya inayoongeza muda wake wa kukaa madarakani kwa miaka miwili hadi mwaka 2030, kulingana na taarifa iliyotolewa Julai 7, 2026 na msemaji wa serikali, Nick Mangwana. Muswada huo ulipitishwa na Seneti ya Bunge mwezi uliopita Sheria...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Bunge la chini la Zimbabwe lapitisha muswada wa kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7

    Bunge la chini la Zimbabwe limepitisha mswada unaolenga kuongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka mitano hadi saba. Hatua hii inampa mwanya Rais Emmerson Mnangagwa kusalia madarakani hadi mwaka 2030. Mswada huo ulipata uungwaji mkono wa wabunge 216 na kuvuka theluthi mbili...
Back
Top Bottom