Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani. Makada wengi wa kilichokuwa chama tawala, Patriotic Front (PF), walijikuta wakikusanyika kwenye makazi...
Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amesema utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ni matokeo ya juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuthamini, kukuza na kuendeleza Lugha ya Kiswahili nchini.
Alitoa kauli hiyo akiwa mkoani Dares Salaam alipokuwa mgeni katika hafla...
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.
Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in...
Familia ya Kenyatta inakadiria hasara ya bilioni 1.2 pesa za Tanzania (sawa na milioni 70 za Kenya) kufuatia uvamizi wa shamba lake na watu wasiojulikana hapo Jana.
Wavamizi waliiba kondoo zaidi ya 1,400 aina ya Dorper mchana peupe, ambapo kondoo mmoja aina ya Dorper huuzwa kwa takriban tsh...
Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta iliyoko Ruiru [Northland's farm].
Imeripotiwa kuwa wamekata miti kadha na kuondoka na mbuzi.
=======
Armed groups breach Kenyatta family-owned Northlands City, loot property
Armed groups breached the Kenyatta...
Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita.
Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023..........
Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi.
Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amepata msamaha wa Rais na kukatiza kifungo chake cha miaka 17 jela kwa ufisadi.
Rais wa Korea Kusini, Yoon Seok-yeol ametoa msamaha huo kwa Lee, leo Jumanne ya Desemba 27, 2022 kama sehemu ya msamaha wa watu wengi ambao ni kawaida katika nchi hiyo...
Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita.
Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1.
Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
Baba Mwita ameandika kupitia mtandao wa Twitter kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akistaafu hupatiwa mafao kwa kiwango hiki.
Rais wetu anapostaafu atapata mafao yafuatayo:
1. Fedha ya 50% ya mshahara wake WOTE aliowahi kulipwa katika kipindi chote alipokuwa Rais. (mara moja) 2...
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa.
Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022...
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya...
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya...
Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead.
The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta.
“It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House.
“I order...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.