Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru.
Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa.
Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya...
Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
Kuna wakati kila jambo linahitaji kufikiriwa kwa undani sana, kila mtu katika taifa ana haki yake lakini katika kudai haki yako kuna taratibu nyingi za kufuata pamoja na kufanya uzingativu hivyo ukikosea katika utaratibu huo basi haki yako inageuka kuwa kaa la moto hata kama ni jambo la faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.