rais mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G-Mdadisi

    TAMWA ZNZ, MCT, wadau wa Habari watoa tamko Mjumbe Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuzuiwa kuzungumza baada ya Kuapishwa na Rais Mwinyi

    CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
  2. Roving Journalist

    Rais Mwinyi mgeni rasmi katika Mjadala wa Demokrasia kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 Mkutano huu ni wa siku mbili, kusoma yaliyojiri siku ya kwanza bofya viunga hivi 1. Mkutano wa Kitaifa wa wadau wa Demokrasia: AveMaria...
  3. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  4. Q

    Sheria na Busara ni mapacha. Mchungaji Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi ‘watamrudisha Zanzibar kwenye jeneza’, hakuitwa mhaini

    Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
  5. B

    Rais Mwinyi aipongeza Benki ya CRDB kwa kuimarisha afya nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi ameiopongeza Benki ya CRDB kwa juhudi inazozionyesha kuboresha afya nchini na kuzitaka kampuni nyingine binafsi kujitoa ili kuongeza nguvu kwani mahitaji ni makubwa. Rais Mwinyi ametoa pongezi hizo kwenye kilele cha...
  6. olimpio

    Rais Mwinyi aongoza kikao cha jumuiya ya madola kinafanyika zanzibar kuhusu mageuzi ya kidigitali

    Kuanzia jana na leo , kuna kikao kikubwa sana kinachofanyikia Zanzibar ,kilichoratibiwa na wizara ya TEHAMA chini ya waziri Nape Nnauye Pamoja na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Jumuia ya madola inafanyia kikao hicho kwa mara ya kwanza nchini Tanzania , haya yakiwa matunda ya jitihada za...
  7. MtuHabari

    Hongera Rais Mwinyi, Rais Samia Uko Wapi?

    Katika hotuba zenu za Mei Mosi jana kuna suala sugu sana ambalo Rais Mwinyi amelikumbuka lakini mama Samia hakuligusia hata kidogo. Ni Suala la PENSION ZA WAZEE WASTAAFU WALIPWAO NA HAZINA. Serikali ya Mapinduzi imetangaza bila chenga kupandisha viwango vya pension kwa 100% lakini huku kwetu...
  8. Roving Journalist

    Zanzibar: Rais Mwinyi apandisha Pensheni kwa Wastaafu na Wazee

    RAIS DK.MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu kwa asilimia mia moja akitolea mfano wa mstaafu wa kima cha chini anayepokea shilingi elfu...
  9. Hismastersvoice

    Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu! Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
  10. S

    Mwana-CCM mwingine amvaa Rais Mwinyi, amshutumu kukodisha visiwa na kukosa uhalali kwakuwa hakuchaguliwa bali kateuliwa tu

    Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo: 1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka. 2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani. 3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya...
  11. chiembe

    Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  12. Suley2019

    Zitto Kabwe: Samahani Rais Mwinyi lakini kwenye hili umekosea

    Na Zitto Kabwe MAONI: Suala moja lililoibuliwa katika mikutano ya hadhara ya chama cha ACT Wazalendo inayoendelea katika visiwa vya Unguja na Pemba ni uendeshaji (ground handling) wa ‘Terminal 3’ katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar. Katika mkutano uliofanyika...
  13. chiembe

    Rais Mwinyi hana "chawa" wa kuwajibu ACT Wazalendo? Kama Rais alitakiwa kuwa last line of defence! Na wapinzani kazi yao kusutana

    Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail. Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa. Na...
  14. Hemedy Jr Junior

    Mama Zuchu akiwa na Rais Dkt. Mwinyi

  15. Ojuolegbha

    Rais Mwinyi akutana na Balozi wa Sweden nchini Tanzania

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias na Ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar kwa Mazungumzo. Leo tarehe 13 Februari, 2023.
  16. USSR

    Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza...
  17. Pascal Mayalla

    Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, kwenye Ibara ya 18, iitwayo haki ya uhuru wa kutoa maoni, "freedom of expression" ni haki inayotolewa na katiba yetu lakini...
  18. JanguKamaJangu

    Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

    "Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka...
  19. The Supreme Conqueror

    Nini kinachomsibu Rais Mwinyi kwa uteuzi wa aliyekosa imani ya Wazanzibar uchaguzi 2020?

    Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo. Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha Kiserikali. Karibuni.
  20. BARD AI

    Teuzi za Rais Mwinyi zaanza kuivuruga ACT Wazalendo, Zitto apinga wazi

    Hatua ya Rais Hussein Mwinyi kumteua Thabit Idarous Faina kuwa mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambayo ilikosolewa na Chama cha ACT Wazalendo kilichopendekeza asiapishwe, imekichanganya kiasi cha kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua za kuchukua. Kikubwa kinacholalamikiwa na...
Back
Top Bottom