Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili.
Akivuka mstari ndani ya saa mbili tu, dakika moja na sekunde tisa aliwahi kwa sekunde 30 kutoka kwenye rekodi yake ya awali...
Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za maili 26.2.
Ameshinda rekodi yake ya Dunia kwa tofauti ya sekunde 30 dhidi ya Mark Korir aliyeibuka wa...
Rais William Ruto akanusha kwenye runinga madai kuwa atatawala Kenya kiimla kutokana na jinsi baadhi ya watu wa nchi hiyo, hasa waliokuwa wakipinga juhudi zake za kuwa Rais wanavyodhania.
Asema ataongoza taifa bila kisasi na kuepuka matumizi ya mabavu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.