Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu kwenye pambano la #KnockoutYaMama (KO ya Mama) na kuwapa salamu za Sikukuu ya Krismasi na kuwatakia mwaka mpya mwema mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki kushuhudia pambano hilo.
Katika salamu zake, Rais Samia pia aliwataka mabondia...