rais samia apiga simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa TAPSEA: Huu ni mwaka wa kumrudisha mama ili tuendele kufanya mambo yetu. Nendeni mkajiandikishe!

    Wakuu, Hii sio kampeni kweli? Leo Rais Samia amepiga simu live kwenye mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association ambapo Makamu wa Rais Philip Mpango alikuwa ni mgeni rasmi. Rais Samia akiwa anaongea na hao wana TAPSEA aliwahasa watumisi hao wakajiandikishe ili aweze kumrudisha...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia alivyopiga simu usiku kwenye pambano la 'KO ya Mama'

    Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu kwenye pambano la #KnockoutYaMama (KO ya Mama) na kuwapa salamu za Sikukuu ya Krismasi na kuwatakia mwaka mpya mwema mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki kushuhudia pambano hilo. Katika salamu zake, Rais Samia pia aliwataka mabondia...
Back
Top Bottom