Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Hii sio kampeni kweli?
Leo Rais Samia amepiga simu live kwenye mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association ambapo Makamu wa Rais Philip Mpango alikuwa ni mgeni rasmi.
Rais Samia akiwa anaongea na hao wana TAPSEA aliwahasa watumisi hao wakajiandikishe ili aweze kumrudisha madarakani
Soma pia: Video: Haya maadhimisho ya TAPSEA ni kikao cha CCM? Kikao kimetawaliwa nyimbo za Samia tu
"Huu ni mwaka wetu maalum. Ni mwaka maalum wa kumrudisha mama ili tuendelee kufanya mambo yetu. Kwa hiyo niwaombe sana kwa wale ambao hawajerekebisha taarifa zao, wale ambao hawajajiandikisha wakajiandikishe, tukachukue na tuweke"