https://youtu.be/vnNAjzF05cY?si=5A3MnmDOll83sAOB
Kumekucha..
Hukumu ya kumwaga damu ya raia wasio na hatia zaidi ya 10,000 kwa siku zisizozidi 4 tu (29/10 - 3/11/2025) iliyofanywa na Samia na genge lake kutetea madaraka ya Urais wake iko kazini ikimsulubu Samia, Serikali yake na CCM...
Na kwa...
Wakuu,
Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike!
Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa...