Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike!
Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa dikteta au katili na kuruhusu utekaji na watu kuuliwa, ufisadi, uminywaji wa uhuru wa kujieleza na matukio mengine ya kuminya haki yafanyike akiwa na akili timamu kabisa? Ni Sababu wakati akiwa Makamu alikwenda kumtembelea Lissu alivyopigwa risasi? Kwani mnadhani alikwenda pale bila Magu kuwa na taarifa na kupitisha aende?
Au sababu alivyoingia madarakani na kutupumbaza wote kwa kuonesha anataka mabadiliko na amani nchini kwa kuponya majeraha yote aliyoacha mwenzake? Kiasi kwamba tunamuona ni mpole au dhaifu na hawezi kufanya hayo?
Au ni ile sura iliyopoa basi inamaanisha na kwenye moyo itakuwa hiyo hivyo? Msafi wa sura, basi ni msafi wa roho? Au sababu ni 'mama' kwakuwa amezaa watoto basi atakuwa na uchungu kwa watoto wengine kama mwenyewe anavyopenda kujinadi?
Hivi kwani dikteta, katili na muuaji ni mpaka awe mwanaume ndio watu wafunguke macho kwamba huu ndio uhalisia?😃 Data ni kweli zinaonesha ukatili mwingi unatokea kwa wanaume lakini mwanamke akiamua kuwa katili, Shetani mwenyewe anakaa chini na kuanza kuchukua notes😂😂
Kwanini tunaona akina borntown ndio wapo capable kwa ukatili na mauaji na sio mama kizimkazi ambae alituambia kutoka mwanzo kabisa kuwa yeye na Magu ni wamoja, kuwa yeye ni chura kiziwi mtapiga kelele lakini hajali, kuwa kifo ni kifo tu, aliyesema kweupe viongozi wa dini wajishkilie la sivyo kitapita kifinyo, viongozi wale kwa urefu wa kamba zao...nk, nk, huyu huyu ndio aziwe capable ya kuwa katili mkubwa kuwahi kutokea nchini kwa nafasi ya Urais?
Afu mnajua mara nyingi mwanafunzi huwa anakuja kuwa bora kuliko mwalimu wake! Yaani ana upgrade vile alivyofundishwa na kuvipeleka kwenye next level😂😂 Samia kachukua notes kutoka kwa watangulizi wake woteee na kutengeneza cocktail moja matata sana mpaka hatuamini kile tunachokiona!
Ni yeye, ni yeye, ni yeye..... mchora ramani na kila kitu, ni yeye, jinsia haibadilishi uhalisia wa mtu!
PS: Citizen wamekuwa wamoto saivi, ni mwendo wa kurusha vibomu tu