rais samia haonekani

  1. Gabeji

    Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

    Bila shaka ni wazima wa afya njema?! Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania? Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni. Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji
Back
Top Bottom