rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  2. U

    Rais Samia amtumia ujumbe wa heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Mfalme Naruhito wa Japan

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma salamu za pongezi kwa Kiongozi wa Japan, Mfalme Naruhito, katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 65. "Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa niaba yangu binafsi, natuma salamu...
  3. A

    Pre GE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  4. milele amina

    Wanachama wa CCM wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila kupingwa tukutane hapa

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu. Tunatarajia kuwa na wanachama wapatao 12,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Sababu za Kukutana 1...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  6. Ojuolegbha

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  7. Waufukweni

    Kwa hili jibu la Profesa Tibaijuka maana yake haridhishwi na Uongozi wa Rais Samia?

    Wakuu Mwanasiasa mkongwe, Profesa Tibaijuka amemwambia mtangazaji wa Wasafi TV, Charles William kuwa hatakii mema baada ya kuulizwa kuhusu tathimini yake juu yake jinsi unavyokwenda.
  8. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Ushindi wa kishindo kwa Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utachochewa na mgombea mwenza kuwa Dr. Nchimbi

    My friends ladies, and gentlemen.. Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan kutamfanya achaguliwe tena kwa kishindo, kumalizia ngwe yake ya pili muhimu sana ya...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

    Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao. Mbunge wa Mtera Livingstone...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  11. Father of All

    Ukiacha Rais Samia Suluhu Hassan ni nani anafuatia kwa kupendwa na kusifiwa?

    Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata Maprofesa, mwanafalsafa, muumini, mpenda watanzania hata wadudu, mzalendo, mchangamfu, mpole, mwenye...
  12. Waufukweni

    Rais Samia kuongoza mazishi ya Dkt. Faustine Ndugulile Disemba 2

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yanayotarajiwa kufanyika Disemba pili, jimboni kwake Kigamboni Dar es Salaam. Mwili wa marehemu Dkt...
  13. Father of All

    Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
  14. Vichekesho

    Namwomba Rais Samia Suluhu Hassan ampongeze Master Donald Trump

    Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura. Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze...
  15. milele amina

    Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  16. Career Mastery Hub

    Rais Samia, taa ya Matumaini na Maendeleo kwa Tanzania na changamoto za ajira 2024

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
  17. Mystery

    Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  18. milele amina

    Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  19. The Palm Beach

    Video: Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan jana 17/9/2024 ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Moshi - Kilimanjaro

    Moderator JF: 1. Tafadhali usiunganishe uzi huu na mwingine. Uchambuzi huu muktadha na maudhui yake ni tofauti kabisa na chambuzi za wengine waliokwisha kupost humu akiwemo Mama Amon........... 2. Uchambuzi huu unaofanywa na mwandishi nguli wa habari za kiuchunguzi anayeishi uhamishoni...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani...
Back
Top Bottom