Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo.
Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
UMEONA RAIS SAMIA ANAPIKA KWA NISHATI SAFI⁉️
Leo nimeona kipindi TBC Rais Dkt Samia akipika kwa kutumia nishati safi ya umeme na gesi. Kitu ambacho ni nadra na nadhani hakijawahi kutokea kwa Rais yeyote nchini kama sio Afrika nzima.
Shirika letu la TAA tunaoratibu kampeni ya kupanda miti ya...
Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr. Ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa Afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa. Hata kama siyo kumpa Uwaziri kamili mpatie Unaibu au nafasi ya Ukatibu kule Wizara ya Afya.
Hii ni dhahabu iliyosahaulika...
Katika Dunia ambapo ushirikiano wa kimataifa unazidi kuongozwa na maslahi ya kijiografia na kiuchumi, Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amejitokeza kama mwangaza wa Uzalendo wa Afrika.
Akiwa Kiongozi pekee wa Kike wa Nchi na Serikali barani, uongozi wake siyo tu ishara ya ushirikishwaji wa...
Kutokana na mbinu ya Rais Samia ya kutumia watu wengine kumsemea badala ya kujitokeza mwenyewe, kuna hatari zifuatazo zinazoweza kutokea:
1. Ukosefu wa uwazi na uwajibikaji: Kutokutokea moja kwa moja na kuwasiliana na wananchi kunaweza kusababisha madai ya ukosefu wa uwazi na uwajibikaji kutoka...
Ni vizuri kwamba CCM inakusudia kuandaa mandamano ya amani kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua mgogoro katika kata 11 za Tarafa ya Ngongoro.
Hii inaonyesha kuwa CCM inaufuatilia kwa makini suala hili na inatambua umuhimu wa kuleta amani na utangamano kwa wananchi.
Ni maarufu...
"Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
amani
haki
kamwe
kipaumbele
muhimu
raisraissamiaraissamiasuluhuraissamiasuluhuhassansamiasamiasuluhusamiasuluhuhassan
simba
simba na yanga
suluhu
ustawi
watanzania
yanga
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan anatarajia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafakaonyika tarehe 17 Agosti 2024 mjini Harare, Zimbabwe.
Rais Dkt. Samia...
SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.
Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa
Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah...
Sidhani kama kuna mtu atabisha kwamba, kwenye nchi hii hakuna wakati sekta ya kilimo imepata mazingatio makubwa sana kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya nchi yetu.
Ushahidi wa kwanza wa hoja yangu ni Rais Samia Suluhu kuongeza bajeti ya kilimo kwa zaidi ya asilimia 200, kutoka TZS...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda tume maalumu ya kuchunguza ushiriki wa Jeshi la Polisi kwenye masuala ya utekaji na utesaji kwa kuwa Jeshi la Polisi limekuwa likituhumiwa kushiriki katika vitendo hivyo...
Shalom wana Jamii Forum.
Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI .
Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue...
HABARI PICHA:
Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi.
Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
azindua
jengo
jeshi
jeshi la polisi
katavi
kisasa
mkoa
mkoa wa katavi
ofisi
polisi
raisraissamiaraissamiasuluhuraissamiasuluhuhassansamiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM.
Kitendo cha afisa wa umma TRA kukutwa na pesa taslimu nyumbani kwake 7bilioni ni ishara mbaya sana. Huyu ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni historia,ni furaha na tabasamu,ni heka heka na chereko,ni shauku na kiu kubwa sana iliyojaa katika mioyo ya wana Katavi ambao wameripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kupata taarifa ya ugeni mzito na wa kihistoria ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu...
Ndugu zangu Watanzania,
Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University nayo ikiwa katika nafasi za juu vilevile, ndipo katika kumi bora unaweza kuona sasa vyuo kama Oxford...
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua...
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.