rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ushauri kwa Rais Samia kuhusu zao la Korosho msimu wa 2021

    Ndugu wanabodi wenzangu, Nimesukumwa na nia ya dhati ya kutoa ushauri wa namna tunavyoweza kunusuru anguko baya la bei ya zao la korosho kwa msimu wa 2021 unaotegemea kuanza mnamo mwezi Oktoba 2021. Korosho ni zao linauzwa nje (export crop) kwa miaka yote na hivyo huchangia katika uingizaji wa...
  2. J

    Shaka: Rais Samia ni mbobezi katika masuala ya uongozi

    SHAKA: RAIS SAMIA NI MBOBEZI KATIKA MASUALA YA UONGOZI. Umma waelezwe kuwa Anatosha na Atatuvusha. Viongozi wa dini waombwa kuhubiri Amani na Mshikamano. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema tokea Uhuru kupatikana 1961 na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kufanyika 1964 na hatimae Chama Cha...
  3. Poppy Hatonn

    Rais Samia anafanya kazi nzuri kuiongoza Tanzania

    Mpaka sasa sijaona kosa alilofanya. Mambo yote aliyofanya ni sahihi. Ni muhimu kwamba usimkejeli rais kwa sababu ya maneno aliyosema huyu au yule. WEWE ndio uwe mwamuzi. Usikubali mtu akuambie rais hafai. Wasikilize watu wengine lakini uamuzi lazima uwe wako. Matatizo ya Katiba nadhani rais...
  4. E

    Je, ni kweli kuwa Rais Samia anahujumiwa?

    Kuna jambo linaendelea nchini ambalo nafikiri wengi wetu hatufahamu lakini ukitazama kwa jicho la tatu la kisiasa utakubaliana na mimi kwamba pengine ni hujuma dhidi ya Rais Samia kwa sababu ili jambo lolote litokee lazima liwe na sababu. Matukio haya machache yanatoa taswira ni kwa jinsi gani...
  5. Q

    CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama. Mama shituka mapema you will thank me later. PIA, SOMA: - Gazeti la...
  6. Ngosha Mashine

    Rais Samia, CCM inakupeleka pabaya

    Kitu pekee Mwl Nyerere alikosea na nadhani anajutia hata huko aliko ni kuipa nguvu sana CCM Chama kimekuwa na nguvu sana kuiongoza serikali, na ni Chama hiki hiki chenye wanachama wengi wafanyabiashara na wawekezaji wengine wa kawaida kuliko wasomi (wabebovu wa masuala fulani kielimu)...
  7. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahia Askofu Gwajima anavyopingana na maamuzi ya Serikali ya Rais Samia

    Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu...
  8. Stroke

    Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi. Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  9. F

    Rais Samia, ongeza ukali watakuheshimu

    Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote. Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha maendeleo ya nchi kwa makusudi makubwa Sana kwa baadhi ya wanasiasa. Taifa hili linahitaji busara...
  10. rosemarie

    Rais Samia anajaribu kuendesha nchi kama Hayati Dkt. Magufuli?

    Habari za kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na watendaji wengine wa Chama huko Mwanza zinashangaza sana Watanzania wanajiuliza Rais Samia anajaribu kuiga au kumuiga Magufuli? Maswali yamekuwa mengi kwani hana leadership style ya kwake ya kufanya kazi? Kwani zile ahadi alizotoa za...
  11. Memento

    Rais Samia kweli umedhamiria kukusanya Kodi za dhuluma hadi kwenye mbolea?

    Haya yote yanayoendelea nadhani tunayaona na hii itoshe kusema CCM hawana nia tena na kuongoza nchi. Mmeongeza Kodi sawa, ndio iwe mara mbili? Ongezeko la 100% tena kwa kipindi hiki? HAPANA Mama hii ni Kodi ya dhulma, haikubaliki. Watanzania wengi wamejiajiri kwenye kilimo lakini napo umeamua...
  12. DeepPond

    Mwalimu asimamishwa kazi kwa kumtukana Rais Samia

    By Pascal Mwakyoma TZA Mwalimu wa Shule ya Sekondari Momba, Shela Mwangoka amesimamishwa kazi na Naibu Waziri wa TAMISEMI David Silinde kwa kudaiwa kumtusi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika kadamnasi ya watu kwa dhihaka kwa lugha zisizofaa kwa Rais. Hayo...
  13. Memento

    #COVID19 Rais Samia hili la Covid-19 bado unatuchanganya kidogo, au ungeachana nalo tu?

    Rais Samia kwanza kabisa Mimi sipo upande wa CCM na naichukia sana CCM, lakini kutokana na kusema tukukosoe kwa heshima basi nitafanya hivyo kwako. Naomba nikukosoe kwa heshima kuhusu ili suala la corona. Mara nyingi umekuwa ukituoumbusha na kutuasa kuwa corona iliingia nchini mwetu na ipo na...
  14. BAK

    #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  15. Suley2019

    Rais Samia: Tumeongeza shilingi 100 katika kila lita ya mafuta ili tuweze kukusanya fedha zitusaidie kujenga Barabara za Vijijini

    Akiwa anamalizia siku ya pili ya ziara yake Mkoani Morogoro Rais Samia ametoa ufafanuzi juu ya ongezeko la bei ya mafuta ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi mitandaoni Katika hili Rais Samia amesema “Tumeongeza fedha kidogo kwenye mafuta, mtakuwa mmesikia kelele za mafuta. Tumeongeza shilingi...
  16. F

    Baadhi ya Wakandarasi Wazawa wanamuangusha Rais Samia

    Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi. Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa ukabarati. Mfano kipande cha barabara kutoka Mabibo Mwisho hadi makutano na Morogoro Road...
  17. The Sheriff

    Morogoro: Rais Samia ashiriki Mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Julai 8, 2021 anashiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku Mbili Mkoani Morogoro. Updates: Salamu za wanawake wa CCT i) Ukatili kwa kijinsia Tunakushukuru kwa jitihada na...
  18. B

    Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha

    Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo...
  19. P

    Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

    Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
  20. The Palm Tree

    CCM msipumbazike na kula, kunywa na kushiba hata mkalewa msioone hatari iliyoko mbele yenu

    Nimetoa mada "Rais Samia Suluhu Hassan, alama ya mwisho ya anguko la utawala wa siasa za CCM Tanzania...." Wengi hawajanielewa na kusema it's a delusional.... Dunia hii ina historia pevu sana inayoweza kutufundisha na kutujuza tulikotoka. Tunaweza kutumia matukio yaliyopita (historia) ili...
Back
Top Bottom