Hakuna kazi hata moja iliyowahi kukosa changamoto. Iwe ni Urais, Uwalimu, Udaktari, Ukulima, Biashara na Uwekezaji, Udereva, Uhandisi, Uchungaji au Ushekhe, Uwanafunzi, au nyingine yoyote, isiyo na changamoto, japo uwingi na uzito wa changamoto hutofautiana.
Na wanaofanikiwa, siyo watu...