Kwa mara ya kwanza tangu kujulikana kwa Taifa la Tanganyika na baadae Tanzania. Hakujapata kutokea rais mwanamke
Kama bahati ya mtende Mungu kawashushia mana. Nyota ya jaha imewawakia! Ni wakati wenyu sasa.
Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kwamba wanawake wa JF ndio wanawake bora zaidi...
Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.