Baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo miaka 3 iliyopita, nilibahatika kwenda kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye taasisi moja.
Wakati wa hayo mafunzo nilizoeana vyema na watumishi wa pale hasa wale wa kwenye Idara niliyokuwamo. Ukaribu, maelewano, ushirikiano katika kazi ulikuwa ni wa...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza napenda kukupongeza kwa hotuba yako nzuri wakati wa ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza au kushona nguo cha jeshi la polisi.
Nilivutiwa na jinsi ulivyosema kuhusu matumizi ya PF-3 kwa wagonjwa wanaoumia au kupata ajali za barabarani na ni ukweli...
Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.
Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.
Moderators wa JF mnazingua sana. Mmebadilisha kichwa cha thread na kutoka nje kabisa ya topic. Lengo haikuwa kusema kuna dalili za mafuta, bali kuweka mkazo kwamba lazima tuharakishe ku-utilize hii resource kwa kuwa kuna kasi ya kuacha kutumia mafuta duniani. Kwa nini mnafix vitu ambavyo havina...
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi
Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki
Prof. Ibrahim Juma...
Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
baada
gani
hatia
hatua
jeshi
jeshi la polisi
kesi
lissu
mama samia
mbali
mdude
milioni
mkuu
nyagali
polisi
raisraissamiaraissamiasuluhusamiasamiasuluhu
takukuru
tanzania
tundu
tundu lissu
uhuru
wananchi
Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha.
Alianza kuwaelezea mapito aliyopitia katika UWAJIBIKAJI WAKE WA KAZI katika SEKTA BINAFSI na TAASISI ZA KISERIKALI...
Kwa heshima na taadhima mama yetu wa Taifa, mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama napenda kwanza kukusalimu "Kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Ama baada ya salam napenda kutumia nafasi hii kama mtanzania na raia mwema wa nchi yako pendwa ya Tanzania...
Amani iwe nawe Mama yangu.
Heri ya sikukuu ya Eid! Na Polee na uchovu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
Kama nilivyotoa commitment ya kukuunga mkono Mara tu ulipochukua kiti cha kuongoza nchi yetu, leo napenda kuleta mada nyingine ya ushauri kwako ili tuutumie katika kuijenga na kuipeleka...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.
Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa...
Habari wanaJF,
Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi
Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana...
Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia unazidi kujipambanua dhahiri kadiri siku zinavyosonga mbele. Na sasa amegusa jambo muhimu sana na la msingi zaidi katika ujenzi wa Taifa lolote lile kwa ajili ya maendeleo endelevu.
Katika mazungumzo yake na wazee wa Dar es Salaam hivi karibuni, pamoja na mambo...
Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.
Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.
Wanahitaji maji safi na salama...
Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs.
Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli.
Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani amewasili Jijini Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na amepokelewa na Waziri Mkuu Mhesh Kassimu Majaliwa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali.
Mama Samia atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam jioni ya leo katika...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Mei 6, 2021 na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge...
Rais wangu na mama yangu Samia, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyochukua ya kuanza kuboresha mahusiano ya kidiplomasia na Kenya kwa sababu yalianza kufa kimya kimya, yaani Tulikuwa na uhusiano wa kinafiki, ktk hili sina muda wa kulieleza kwa kina kwa sababu lipo wazi kabisa.
Rais wangu...
Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo.
=======
Rais Samia Suluhu Hassan
Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
Rais wetu huyu mpya majuzi katangaza kuwa ataunda sijui kamati ya Corona. Bado sijaelewa hasa lengo na madhumuni ya hiyo kamati yatakuwa ni yepi. Sasa ni zaidi ya mwaka na ushee tokea dunia ikumbwe na hili janga.
Kwa jinsi mwelekeo wa hali unavyoonekana, janga hili ni kama vile linaelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.