rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. SULEIMAN ABEID

    Luhaga Mpina ampongeza Rais Samia kasi ya Ujenzi wa Miradi, asema hakuna ambao unasuasua

    LUHAGA MPINA AMSIFU BUNGENI MH. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KASI NZURI YA UJENZI MIRADI YA SGR KIPANDE CHA MWANZA- ISAKA NA MIRADI YA TARURA "Mhe. Spika na mimi nashukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia wizara hii muhimu sana, wizara ambayo inatunza rasilimali za W atanzania. Na...
  2. figganigga

    Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

    Salaam Wakuu, Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma. Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele. Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna...
  3. Leak

    Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
  4. Countrywide

    Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

    Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta. Hadi haoaa itoshe kusema...
  5. C

    Ningemwambia haya Rais Samia endapo ningepata nafasi ya kukutana naye

    Ningemsalimia kwa unyenyekevu mkubwa na kumshukuru kwa nafasi ya kukutana naye! Ningemwambia kuhusiana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi katika taifa letu! Ningetoa mapendekezo yangu kuwa sekta ya kilimo itazamwe upya kwa jicho la tatu kama mkombozi wa changamoto hiyo! Kuwa...
  6. P

    Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

    U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika. Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru. Hili...
  7. Etwege

    Kauli, matamko ya Rais Samia yaliyoleta umoja na utulivu wa nchi

    Amani iwe nanyi, Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli. Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
  8. K

    Rais Samia: Kesi ikishatupwa na Tume ya Utumishi wa Umma isiletwe kwangu

    Siku ya kuwaapisha ma-Katibu Wakuu wa Mikoa siku ya tarehe 2 June 2021 Ikulu ya Chamwino Mh. Rais alitamka kwamba atashangaa Mtumishi wa Umma kumuona anakata Rufaa kwake kama Rais pale inapotokea Tume ya Utumishi wa Umma inatupilia mbali kesi ya mtumishi. Nilipoyasikia maneno hayo kutoka kwenye...
  9. U

    Rais Samia kufanya ziara ya siku 3 Mwanza kuanzia Juni 13 - 15, 2021

    Wadau wa JF, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya muda wa siku tatu (Juni 13 - 15) kutembekea Mkoa wa Mwanza. Akiwa Mkoani Mwanza Mhesh Rais ataweka saini mradi wa ujenzi wa Reli ya...
  10. Pascal Mayalla

    Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki

    Wanabodi, Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki". Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi kifo cha mtu yoyote, kifo chochote kinapotokea, kinahesabika ni mpango wa Mungu, na kama kawaida watu...
  11. Analogia Malenga

    Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

    Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  12. K

    Rais Samia umewafunga 'speed governor' Chalamila na Hapi, hongera sana

    JF Katika kitu mama amefanikiwa ndani ya muda mfupi ni kurejesha nidhamu ya viongozi wateule wa rais. Itakumbukwa hapo nyuma wakuu wa mikoa ya Mbeya na Iringa walijiona ni miungu watu ndani ya nchi hii, walikuwa wanafanya mambo wanayojisikia hata kama ni kinyume na haki za viongozi. Huyu...
  13. W

    Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima. I: PEMBEJEO Rais Samia ametatua kilio cha Wakulima cha pembejeo ambapo Safari hii pembejeo...
  14. Masalu Jacob

    Napendekeza kufufua Azimio la Arusha na kurasimisha Katiba ya Warioba

    Habari Tanzania! Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kwa marika yote. Napenda kutoa wazo kwa Utawala wa sasa na ule ujao kama itawapendeza na kuona inafaa kwao; na wanapenda kuona kesho yao ikiwa nzuri wanapaswa kwanza kulifufua upya Azimio la Arusha na baadae ndio pafanyike kusimikisha...
  15. P

    Kuendelea na minyukano ni kutoielewa dhamira ya Rais Samia

    Na Philipo Mwakibinga Rais Mama samia amedhihiri kuwa anataka Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Demokrasia, ambacho kinapimika kwenye viwango vya Kimataifa. Badala ya kujifanya hatujamuelewa sasa tumsaidie ili Tanzania ya Wote iwezekutamalaki. Niwakati muafaka wa kilammoja wetu kujivunia hili...
  16. MenukaJr

    Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

    Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina mapungufu kadhaa kwa maoni yangu, kama ifuatavyo: 1. Mkataba wa Gesi Da'slam-Mombasa Taarifa ya Msemaji...
  17. The Boss

    Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri. Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani anataka sasa karibu watu wote Tanzania nzima wakitaka kuunganishiwa Umeme walipe Elfu 27 tu bila...
  18. W

    Rais wangu Samia zuia wafanyakazi wa NCBA kupunguzwa, Uhuru Kenyatta kakudanganya

    Ndugu yangu Samia, Ninajua umezongwa na vimemo, Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania. Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu. ha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia...
  19. B

    Wazazi wa Azory Gwanda watuma barua kwa Rais Samia Suluhu Hassani

    04 June 2021 Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa...
  20. Bams

    Rais Samia akifanya haya, Wapinzani watakuwa na wakati mgumu

    Matatizo mengi ya Tanzania, kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na uongozi mbaya unaolindwa na sheria mbaya na Katiba mbovu. Rais Samia, kwa dhamira yake, anaonekana ni mtu anayependa haki - hili amelitamka mara kadhaa. Rais Samia anapenda demokrasia ya vyama vingi - hili alilitamka hata kule...
Back
Top Bottom