Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka.
Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani?
Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery.
Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo...
Ummy Mwalimu, Waziri wa TAMISEMI, akiwa anatafakari juu ya muundo wa serilkali ya Tanzania Bara kuanzia Ikulu hadi Vitongojini.
Usuli
Mwongozo wa kuunda mikoa wa 2014 unataja vigezo hivi: idadi ya watu isiyopungua 3% ya watu wote nchini, changamoto za kijiografia zisizoweza kutatuliwa nje ya...
Kwako Rais Samia,
Kuna jambo moja binafsi naona unafanya makosa makubwa sana, na hili linahusu teuzi zako za hivi karibuni ambazo zinatia ndani watu fulani ambao huko nyuma walionekana kufanya makosa makubwa katika uongozi wao na hata kuwa na dosari katika uongozi wao. Mfano mmoja ni huyu mtu...
Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka.
Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa...
Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini kufuata sheria zinazowekwa katika maeneo mlipo maanake nimeona njia zote zimezingiwa, vibanda kila...
Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi.
Juzi Kati Tanesco walipata matatizo kwenye mfumo wa LUKU nakupelekea kukosekana kwa huduma hii.
Niliwaza sana kuhusu udukuzi wa kimtandao...
Wajuzi wajaribu kuelewesha mama leo akiwaapisha ma-RAS na viongozi wengine ameshauri kuwa tusing'ang'ane na sheria tu hadi hata kama mtu amekuja na mtaji wake anashindwa eti kwa kuwa sheria imesema hivyo.
Ukweli Sheria sometime inaondoa utu, ubinadamu na kwenda na muda.
Lakini pia sheria...
Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami.
==========
Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
Habari wadau!
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
Kwa hali Kisiasa ilivyo, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinatakiwa kifanye Mambo yafuatayo ili kiweze KUSIMAMA na kurejesha ushawishi wake Kama ilivyokuwa kabla 2015.
1. Achaneni na Magufuli
Ukifuatilia hotuba zako nyingi nikama Magufuli Yuko Madarakani. Agenda za mikutano yao imebeba...
Ama kwa hakika huyu mama atakua suluhu. Najua hizi habari zitwatibua nyongo wale hupenda kuendekeza chuki lakini ndio hivyo. Tupige biashara na kuboresha chumi zetu.
========
Kenya President Uhuru Kenyatta (right) and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan having a word during...
Moja kwa moja nimpe mama Samia hongera kwa kurekebisha makosa yaliyofanyika kwenye teuzi za makatibu tawala na zile za wakurugenzi wa mashirika mfano ile teuzi ya DG wa TPDC.
Ni wazi Kuna majina mama anayopewa ya teuzi yakiwa na makosa. Ieleweke mama Samia hawezi kuwajua watu wote hivyo ni wazi...
Freeman Aikael Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa Arusha licha ya kutumia muda mwingi kumsimanga JPM, ambaye hawezi kujitetea tena amemjaribu Rais Samia Suluhu Hassan.
Freeman Mbowe amesema kuwa Chama chake hakitashiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa hadi pale itakapopatikana Katiba mpya...
HONGERA MAMA SAMIA KWA MPANGO WA MAPITIO YA SHERIA 22 KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI
Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh.Rais Samia Suluhu Hassan iko katika mchakato wa kushirikisha wadau mbalimbali katika kufanya mapitio ya sheria 22 chini ya Wizara ya Viwanda na...
Rais wangu, ukipata nafasi mwite ofsini Kamishna wa TRA nchini, Bwana Alphayo Kidata. Muulize katika mwezi April/May ambao yeye amekua ofisini amekusanya mapato kiasi gani. Akikupa hesabu linganisha na mwezi wowote katika mwaka wowote unaoutaka wewe. Achana na miaka ya JPM ambayo inasemwa kodi...
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha.
Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema yupo tayari kushirikiana na viongozi, taasisi na mashirika mbalimbali ya kimataifa katika juhudi za kufanikisha jukumu la kuipeleka mbele Tanzania.
Amesema hayo Jumapili Mei 23, 2021 wakati aliposhiriki mkutano kwa kwa njia ya mtandao kikao kilichoandaliwa...
Ni kawaida nchini kwa kila kiongozi mpya anapoingia madarakani, kuwepo kwa genge la wanufaika wa uongozi uliopita kulinda na kusukuma maslai yao. Mwinyi – kama alivyoandika kwenye kitabu chake – alisumbuliwa sana na ‘watu’ wa Nyerere, ikiwemo Nyerere mwenyewe. Mkapa hakusumbuliwa sana na hili...
Wanabodi nawasalimu.
Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.
Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.