rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mshangao na huzuni bila Rais Samia, maisha ya wanyonge, wa kariakoo Rais Samia, tunakusihi uje nyumbani, uso kwa uso na wananchi

    Mshangao na Huzuni kwa Rais Samia Habari za kusikitisha zimeikabili nchi yetu, Tanzania, ambapo watu 13 wamefariki kutokana na jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo. Hali hii si tu inasababisha huzuni ndani ya mioyo ya wananchi, bali pia inatoa maswali mengi kuhusu uongozi wa Rais Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

    Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Mitambo ya Rais Samia Yarejesha Bwawa lililopotea Handeni

    MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambao awali ulikumbana na changamoto kadhaa ikiwamo rushwa na kusimamishwa kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa: Rais Samia awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize hoja zao

    Kama hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa hazima baraka za Kiongozi wa Nchi, nashauri yeye mwenyewe awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize hoja zao yeye mwenyewe ili kupata hali halisi ya mwenendo wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

    Najua upo Brazil kwenye majukumu yako Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini. Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa tufatilie Kwa pamoja ajali hii, ila naheshimu mawazo yako Watu na majeruhi ni wengi, mh Rais wetu amru...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

    Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba...
  8. JamiiForums Tanzania Mwakinyo atetea Ubingwa wa WBO Afrika kwa KO, atwaa Milioni 10 za Rais Samia

    Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea mkanda wake wa WBO Afrika baada ya kushinda kwa KO raundi ya tisa dhidi ya bondia Daniel Latrey kutoka Ghana. Ushindi huo pia umewezesha kujinyakulia TSh milioni 10 alizoahidiwa na Rais Samia endapo angeshinda pambano hilo kwa knockout kwenye The...
  9. JamiiForums Tanzania Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kwa waathirika Kariakoo. Aagiza kufanywa kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi

    Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16. Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 "Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani

    Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi. Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua...
  12. JamiiForums Tanzania Uchawa hadi msibani! MC awataka waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya salamu msibani kwa Mafuru

    Wakuu Nimeshangazwa na namna MC wa msiba aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru alivyoomba waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya kutoa salamu zake. Katika mazingira ya msiba, ambapo wengi huwa wamezama katika huzuni na unyenyekevu, ombi hilo lilionekana...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Jerry Silaa amemgomea Rais Samia kufanya kazi katika Wizara ya Habari?

    Kwanza kabisa nikiri wazi nakubali sana uchapakazi wa Jerry Silaa (Mb) hasa alivyokuwa Wizara ya ardhi. Lakini kama tujuavyo mteuliwa hana maamuzi ni wapi afanye kazi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu aliamua kumuondoa Wizara ya Ardhi ambapo sote naamini tunakumbuka hekaheka zake akamhamishia Wizara...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

    Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu. Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya pili kualikwa kwenye ngazi kubwa ndani ya kipindi chake kwani Aliwahi alikuwa kushiriki mikutano wa...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia Suluhu kafanya ubakaji wa Kisiasa kwa kuingilia Mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Salaam Wakuu, Nimesikitishwa sana na Kitendo kilichofanywa na Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kinachogombea, kuingilia Mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa. Huwa amekuwa akijipambanua Dunia na Chawa wake wameandika articles nyingi wakidai Dkt. Suluhu Hassan ni...
  16. JamiiForums Tanzania Rais samia mtetezi wa wanyonge,Msikivu

    Rais samia kweli ni mtetezi wa wanyonge na msikivu kweli kweli baada ya kusikia kilio kwa vyama vya upinzani ameamua yaishe na kuamua kuwaagiza wagombea wa upinzani waliokatwa mara moja warudishwe kwenye uchaguzi ili wachinjwe na wananchi wenyewe kwa Rais huyu wapinzani hamtaambulia chochote...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo Kanali Benard Paul Mlunga

    Aliyekuwa mpambe wa wa Rais Magufuli, Kanali Benard Paul Mlunga akimsikiliza Brigedia Jenerali Ibuge (hayupo pichani) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa. Kanali Mlunga alijipatia umaarufu enzi ya hayati Magufuli kea uchapaji wake kazi uliotukuka. Nilijua alishapanda cheo kumbe amebakia...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akitoa neno moja tu kuhusu wanaohujumu SGR, hakuna atakayethubutu kuharibu tena

    Tumeinvest hela nyingi sana kwenye SGR, jana nimeona kuna watu wamekamatwa wanaiba nyaya, wahujumu uchumi wa wazi, kwa namna tulivyoingia garama, nilitegemea SAMIA atoe tamko moja tu la uhakika ili watanzania wote wasikie na walinde reli hii. Lakini kwa sababu ya mazoea Watanzania...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

    Wakuu, Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi. ===== "Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati. Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Utata wa teuzi za Rais Samia

    Hivi karibuni Rais amemteua Engineer Peter Rudorf Ulanga kuwa mtendaji mkuu wa shirika la ndege ATCL ; akichukua nafasi ya mteule wa Magufuli engineer Ladislaus Matindi. Ikumbukwe tu kwamba Muda si mrefu uliopita engineer Ulanga alitumbuliwa kama mtendaji mkuu wa TTCL Je, Rais anapowatumbua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…