rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipia gharama washiriki kutoka Arusha wanaoiwakilisha Tanzania mashindano ya pikipiki Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross Championship kwaajili ya kushiriki mashindano ya FIM Africa Motocross of African Nations yanayofanyika Oktoba...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Rais Samia ameleta hamasa kubwa kwa wananchi kujiandikisha kwa wingi uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Imeelezwa kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wa CCM wa ngazi mbalimbali kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi kimekuwa chachu ya wananchi kushiriki kwa wingi kwenye zoezi hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hata ukipiga kura kule kwingine, CCM inaenda kuunda Serikali. Je, hizi ndo 4R?

    Salaam Wakuu, Katika Uchaguzi wa 2020, rais Samia kipindi hicho akiwa Makamu wa rais, alisema hata ukipigia kura chama kingine, CCM itashinda. Kwa kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, inaonekana kabisa akili zake za mwaka 2020 ndo zilezile. Japo alikuja na 4Rs naona hazifanyi...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anabagua, anachagua matukio na tabaka la kuwapa pole

    Rais ni Comforter-in-Chief hatakiwi kuonyesha upendeleo kwa wananchi wake anaowaongoza kwa namna yeyote ile. Hivi karibuni tumeanza kuona kujengeka kwa tabia ya Rais kutojali madhila ya watu kutokana na itikadi zao. Mzee Kibao alitekwa na kuuawa, pamoja na rais kuagiza uchunguzi ufanyike kwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Salamu za Pole kwa Boniface Mwamposa Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejitoa na kujitolea Maisha yake kama Sadaka kwa ajili ya kuwatumikia watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani.ukifuatilia namna anavyoongoza Nchi,namna anavyo chapa kazi,namna anavyopambana kutatua kero na changamoto mbalimbali,namna anavyotekeleza miradi ya maendeleo,namna anavyohangaika huku na...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wapongeza Juhudi za Rais Samia Kuleta Maendeleo Nchini

    VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI ▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa ▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa ▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii 📍 Dodoma Viongozi wa Dini...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu: Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua. Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji mzuri nikiwa juu ya farasi lakini nikawa mnyonge nikiwa bila farasi. Au naweza kuwa mpiganaji mzuri...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Nuru ya Taifa iangazayo na kuleta Matumaini kwa mamilioni ya watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Anaweza leta nuru ama giza katika Taifa na mioyoni mwa Watu,anaweza leta Matumaini au kuwavunja watu moyo ,anaweza wafanya watu kuona leo ni afadhali ya jana...
  10. JamiiForums Tanzania Pongezi Spika Dkt. Tulia umeonesha uwezo na unaweza! Je, tumshauri Dada Mkubwa, ikimpendeza, ampishe Dada Mdogo kwenye lile jambo letu?

    Wanabodi, Makala yangu Nipashe ya Leo, 20/10/24 Hizi ni pongezi za dhati kwa Spika wetu, Dr, Tulia Akson Mwansasu, alivyowajibu kwa kuwakoromea maspika wa nchi 12 za mabeberu, wanajiita 12+ walioanza kumsakama Dr Tulia kwa bullying and intimidation kwa kitendo chake cha kukutana na Rais Putin...
  11. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hamasa kubwa ya wananchi kujiandikisha, pongezi ziende kwa Rais Samia

    HAMASA KUBWA YA WANANCHI KUJIANDIKISHA, PONGEZI ZIENDE KWA RAIS SAMIA Nchi inayoongozwa katika misingi ya kidemokrasia inaamini kuwa kielelezo cha kwanza cha Demokrasia ni haki ya kuamua, yaani kuchagua au kuchaguliwa. Katika kuiishi imani hiyo, serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Afrobarometer zaonesha Tanzania inavyoongoza katika kupambana na umaskini Afrika

    Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri katika kuwaondoa watu kwenye umaskini, na kuiweka Tanzania kuwa miongoni mwa nchi mbili pekee za Afrika...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ikimpendeza Rais Samia amuhamishie RC Makonda Mwanza

    Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
  15. J

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania

    MATUNDA YA 4R ZA RAIS SAMIA, WAKULIMA NA WAFUGAJI MAMBO SHWARI Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania yenye misingi imara ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. 4R zinawakilisha Maridhiano (Reconciliation), Uthabiti (Resilience), Mageuzi (Reform), na...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

    Wanabodi, Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1 angalieni nchi za wenzetu,linganisha na hapa kwetu!。 Mwangalie Dr Tulia wa IPU na umlinganishe na Dr Tulia wa pale mjengoni kwetu Dodoma, ni mbingu na nchi!。 Mtu unaweza kudhani ni watu wawili tofauti! Hili ni...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yaridhishwa na mageuzi ya kiutendaji ya Serikali ya Rais Samia

    MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi. Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanu Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Ajiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Ngara na Diwani Wamlilia Rais Samia kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge

    Katika mkutano wa hadhara wa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida, Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba Ruholo ameomba serikali kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge. Mbunge huyo amesema kuwa kila walipokuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…