rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taasisi ya goodwill foundation waungana na Rais Samia kuponya maisha ya watanzania

    Zaidi ya vijana 70 wanaounda Taasisi ya GoodWill Foundation wamemuunga mkono Rais Samia suluhu Hassan kwa kujitokeza kujitolea damu kwenye Kituo cha damu salama kilichopo Muhimbili jijini Dar es Salaam. Wanafunzi walijumuika kutoka Vyuo mbalimbali vya Dar es salaam, wamefika uamuzi huo baada ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

    It is a pity! sasa 4R zipo wapi? Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Juni 30, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar Es Salaam leo tarehe 30 Juni 2024. CCM Imara Vitendo Vina Sauti Tunaendelea na Mama Kazi Iendelee
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nilitetemeka kwa hofu siku niliposikia rais Samia akisema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja!

    Rais Samia alipoingia madarakani mwaka 2021 katika hotuba zake za mwanzoni kabisa aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Nakumbuka siku ile niliposikia matamshi hayo nilipatwa na hofu ndani yangu kwani kwanza sikutegemea angesema hayo na pili mimi nilielewa maneno hayo yalimaanisha...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya Dotto Rangimoto kwa Rais Samia kuhusu tukio la kutekwa wa Sativa

    Salaam Mama Rais Samia. Wakati yalipoanza matukio ya utekaji kipindi cha Serikali ya awamu ya 5; yalikuwa ni matukio mageni. Walakini kama vile hayataki yakawa mazoea kabla ya kuota mizizi. Pengine isingekuwa hofu sana kama ungekuwa ni utekaji tu, ila watekaji wenyewe kuwa WATU WASIOJULIKANA...
  7. JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  8. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

    Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa? Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atua Chuo cha Taifa cha Ulinzi na kutoa Mhadhara juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha Taifa cha Ulinzi na kupata mapokezi mazito kwelikweli na ya heshima ya hali ya juu sana. Ambapo akiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali inatufilisi vijana mliosema tujiajiri Waziri kafungia Ziwa Tanganyika wakati sisi hatuvui samaki wa mboga

    Habari za muda huu Rais Samia, nakupongeza kwa uongozi wako kama Mama wa Taifa letu, huku ukidumisha nafasi yako kama Rais. Rais Samia, mimi ni mmoja wa vijana wachache tuliojiajiri na tunachangia pato kubwa kwa Taifa letu la Tanzania. Hivi sasa tunakutana na changamoto kubwa sana. Mheshimiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Taifa nashauri tukubaliane kwa kauli moja kwamba majadiliano ya katiba mpya yaanze rasmi baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Kutokana majukumu ya maandalizi mazito ya kazi za kikatiba kitaifa, kwa mfano ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini nzima, pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025.. Mambo haya muhimu kwa taifa, yanahitaji muda mwingi wa kutosha kijipanga na kuyaandaa, yanahitaji umakini, utulivu, uangalifu...
  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

    TAARIFA KWA VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Dkt. Ashura Abdul Katunzi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Guinea-Bissau, Ikulu ya Dar - Juni 22, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22, 2024, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Embaló ana ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini, ikiwa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kikwete afunguka, asema Rais Samia ‘amemfunika’

    RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu, kwa namna anavyopeleka fedha katika halmashauri, zinazokwenda kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo, ambapo miradi mingi inatekelezwa katika uongozi wake. Kikwete ametoa pongezi hizo katika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumpokea Rais wa Guinne Bissau Ikulu hapo kesho

    Ndugu zangu watanzania, Naomba nisiwachoshe wala kuwapotezea muda wenu.someni wenyewe hapa chini. Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa.Mama anatosha kuendelea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo ni shimo lingine kwa Rais Samia

    Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo. Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha Kodi hii halmashauri wakusanyaji wakiwa watendaji wa vijiji italeta vita kubwa sana kwa wananchi wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida. Ni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

  20. J

    JamiiForums Tanzania Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

    Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake, Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…