rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco. Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
  2. JamiiForums Tanzania Kila unaposimama Rais Samia Suluhu na CCM wanaonekana - hatumwachi

    Salaam ni jadi yetu watanzania! Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni? Ajira kwa vijana zimeongezeka sana...
  3. JamiiForums Tanzania PICHA: Huenda Rais Samia akawa ndio Rais anayevuta watu wengi zaidi kwenye mikutano yake kuliko marais wote waliomtangulia

    Kwenye hili naamini tutakubaliana. Ukipita huku mitandaoni hasa hapa JF unaweza ukadhani ni kweli Rais Samia Suluhu Hassan Wananchi wanamchukia kumbe ni propaganda chafu tu za Wapinzani waliokosa kila kitu. Tangu nimeanza kufuatilia ziara za marais hasa hawa wa Tanzania sijawahi kuona Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Milioni 700 za Rais Samia Zamaliza Ujenzi wa Daraja la Kiseru - Kiteto

    MILIONI 700 ZA RAIS SAMIA ZAMALIZA UJENZI WA DARAJA KOROFI LA KISERU WILAYANI KITETO-MBUNGE OLE LEKAITA Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mbaazi sasa siyo mboga ni zao la biashara

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF, Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu. Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia athibitisha uhusiano wake na Waziri Mchengerwa

    Kama ulikuwa unasikia tu basi leo Rais Samia Suluhu Hassan amethibitisha uhusiano wake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mohamed Mchengerwa. Mara kadhaa imekuwa ikizungumzwa kuwa wawili hao ni mtu na mkwewe lakini hakuna kati yao aliyewahi kuzungumzia hilo. Akiwa safarini leo Septemba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni chaguo la Mungu

    RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU. NB: Kama utaumia kwa andiko hili, pole ni advance. Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nayahakikishia Makampuni yote yaliyowekeza Tanzania usalama wa Mali Biashara zao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha uzalishaji vioo vya ujenzi cha Saphire Float Glass - Mkuranga Mkoa wa Pwani leo tarehe 20 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/1B1T_KJNXmo?si=HDJfkQXcWklPTGmF === Rais Samia amesema Kiwanda hiki...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa hakuna Kijiji kitakwenda Upinzani pia Uchaguzi mkuu wa 2025 kura zote kwa Rais Samia Suluhu

    === Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika jimbo lake hakitapotea kijiji hata kimoja kwenda Upinzani katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa hapo mwakani 2024. Vilevile Mhe Mohammed Mchengerwa amemuahidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ushindi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge asema mbele ya Rais Samia kuwa Umeme umekatika mara 21 ndani ya siku mbili

    Rais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam https://www.youtube.com/watch?v=3F82U8xtIb4 MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Rais Samia unawaonesha kwa vitendo wasemaji wa ovyo ovyo, vizabi zabina

    Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji ule basi nchi haitoweza kuendeleza bandari nyingine yoyote.Amewaita raia hao vizabina Nanukuu "Wako...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kipande cha neno la shukrani kwa Rais Samia kutoka kwa mnufaika wa boti za uvuvi Lindi, atakuwa anajua hata mwani ukoje kweli?

    Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukanda wetu wa Bahari kuu ni mkubwa sana, tunafikiria kujenga Bandari nyingine ya uvuvi Bagamoyo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/--l5dcKBzxc?si=TJchCSVp4JNKxdwb === Rais Samia amewasisitiza wananchi waliopata boti za mkopo nafuu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo kwenye "Mchezo wa kutunzwa" maendeleo, tutamtunza

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ‘Mcheza kwao hutunzwa’ hivyo ni lazima Serikali ipeleke maendeleo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ili kumtunza kwa maendeleo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kwakuwa kazi yake ya kuwatumikia Watanzania ni kubwa hivyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Ruvuma tumekukosea nini?

    Samia Ruvuma tumekukosea Nini? Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako? Hivi unajua kwenye huu mkoa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia Kusini ni kupima Msuli wa Waziri Mkuu Majaliwa nyumbani kwake

    Wanasiasa wote hususan viongozi wanapoanza kuwashughulikia wenzao huwa wanawafanyia jambo kubwa la kuwakera halafu wanaenda kufanya ziara kwenye maeneo yao ili kupima msuli wao dhidi yao. Ni kama vile mtu ampige mkeo kibao halafu anakuja kwako kuona wewe na wanao mtafanyaje. Kwa wanasiasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…