rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ampongeza Emmerson Mnangagwa kwa Kuchaguliwa Kuwa Rais wa Zimbabwe

    Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameandika Ujumbe wa kumpongeza Emmerson Manangangwa kwa Kuchaguliwa Kuwa Rais wa Zimbabwe Ameandika "On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Amshukuru Rais Samia ukarabati Chuo cha Maji, atoa maagizo mazito

    Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ninawaomba watanzania kuanza kurudisha kadi za CCM

    Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za CCM tu kurudishwa kwenye ofs zao Na ili bandari zetu zipone, dawa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Siungi mkono Vipengele vya Mkataba wa DP lakini Rais Samia pekee ndiye mwenye Uwezo wa kutuvusha 2025-30

    Hata mimi nina threads kadhaa za kuuponda mkataba wa DP World na Tanzania kutokana na vipengere visivyo na manufaa kwa nchi yetu. Kimsingi kila mwananchi kwa sasa amekuwa bingwa wa mikataba na uwekezaji kutokana na maamuzi ya Rais Samia kufungua uhuru wa maoni ambao ulidhibitiwa na mtangulizi...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

    Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani. My Take: Tuendelee kupambana! ========= Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema kuna Makundi yanatengenezwa kufanikisha Upigaji pesa za Serikali vinginevyo mfumo huo usingeishi

    Fuatilia matangazo haya ya moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mw. Nyerere, Kibaha - Pwani. https://www.youtube.com/live/6w995GGGrS4?si=8EBhTwCrgxbyhJNG Samia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni. Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asingembadilisha Balozi Mbelwa Kairuki

    Habari zenu, Siku za hivi karibuni Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali. Kati ya taarifa iliyonishitua ni ya balozi Mbwelwa Kairuki kutolewa China na kupelekwa Kwa Malikia Uingereza. Kwanini kitendo cha...
  9. JamiiForums Tanzania Gumzo Hotuba ya Rais Samia Mkutano wa BRICS

    Ushiriki wa Rais Samian Suluhu Hassan na kutoa hotuba katika mkutano wa Kimataifa wa BRICS uliofanyika mini Johannesburg, Afrika Kusini, umewaibua wachumi wamesema ambao mkutano huo una tija kubwa kwa Tanzania katika kumarisha diplomasia ya uchumi, kuipa heshima nchi kimataifa. Katika mkutano...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Samia: Mkutano wa BRICS nyie Mnamwandalia Rais Hotuba ya North-South Geopolitics

    Asalam. Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi, Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mungu Ndiye Anayejua Atakayempokea Urais Rais Samia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo...
  12. JamiiForums Tanzania Wasomi wapongeza Rais Samia anavyochungulia fursa kwa Mataifa tajiri

    Wachambuzi wa masuala ya uchumi na diplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria mkutano wa mataifa matano tajiri (BRICS), wakisema kitendo hicho kinaimarisha uhusi-ano wa kimataifa na kama Tanzania ikijiunga itakuwa na uchumi imara. Mkutano huo wa siku mbili ulihitimishwa jana...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashusha neema Vijijini

    Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara katika maeneo ya vijijini na mijini ambapo imetenga sh. bilioni 858.5 kutengeneza barabara zenye urefu wa kilomita 21,058 zikiwemo za kiwango cha lami kilomita 427 na makalavati na...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa BRICS Nchini Afrika Kusini

    Mkutano wa kilele wa BRICS umeingia siku ya 3 huko Johanesburg, Afrika Kusini. Nchi wanachama zinapania kuimarisha ushawishi kuukabili muundo wa uchumi wa dunia unaoongozwa na nchi za Magharibi. Viongozi wa muungano wa BRICSwamegeukia ajenda kuu ya mkutano wao, siku moja baada ya Rais wa Urusi...
  16. JamiiForums Tanzania Mongela kwa Rais Samia: Figisu za bandari ni agenda za wanaume kukuangusha

    Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru. Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania "Heri wao walioushuhudia uongozi wa Rais Samia", yatakuwa maneno ya vizazi vyetu 50-100 ijayo

    Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia. Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni chaguo la Mungu na aliandaliwa na Mungu kuongoza Taifa letu

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli, ndio uhalisia,ndio jibu kwa wale wote wanaojiuliza ujasiri mkubwa alio nao na alio uonyesha Rais samia katika kuongoza Taifa letu pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mfupi. Ni dhahiri katika ulimwengu wa kiroho Mwenyezi Mungu alikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania DP World pekee ndio watakaomnasua Rais Samia ili 'watanganyika' wasimtose!

    “KUNA HATUA TATU WANAWEZA KUCHUKUA” Hatua ya kwanza ni kampuni hiyo kukiri kwamba mkataba wao uliandaliwa vibaya, wakubali kuwa umekosewa na kwahiyo kuna vifungu vinatakiwa kurekebishwa. Wasijaribu kumshinikiza Samia wala kumdanganya kwamba anaweza kubadilisha sheria za nchi yetu, ili ziweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…