rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais TLS: Uongozi wa Rais Samia umejaa Utu na Utawala Bora

    "Mhe. Rais SuluhuSamia tunakushukuru sana kwa uongozi wako bora uliojaa utu utawala bora, malengo mema na bora kabisa ya kujenga maridhiano na kuleta maridhiano ya mifumo, sera na sheria na kutekeleza mipango yakujenga Taifa letu kuwa bora na imara kiuchumi na kijamii. "Tanganyika Law Society...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Jengo la Kitega Uchumi la Kanisa la Anglikana - Central Tanganyika Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=Fzph9HC7EzU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Kitega Uchumi lenye Ukumbi wa Huduma za Jamii la Kanisa la Anglikana- Central Tanganyika Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023 jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

    Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii? Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Bibi na Bwana wameondolewa katika nembo ya taifa inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia

    Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi. Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana Nembo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

    Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini. Huu...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  8. JamiiForums Tanzania Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    hii ni kwa uchache sana kwa sasa, Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka. Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma. Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano. Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo...
  9. JamiiForums Tanzania Siyo siri Rais Samia alianza vizuri, sasa analikoroga

    Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila mtu alikula mboko. Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Salamu mbele! Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora. Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi hatutaki tena maridhiano ya kisiasa

    Wananchi wengi wa Tanzania tunafuatilia mienendo ya vyama vya siasa kisha tunagundua kwamba waomba maridhiano CDM, ACT, NCCR, CUF, nk, ndio waanzishaji wa vurugu. Tundu Lissu wa CHADEMA kutukana mamlaka ya Rais huku Godbless Lema akidhihaki mamlaka ya Rais. Dkt. Slaa kutukana mamlaka ya Ikulu...
  12. JamiiForums Tanzania Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

    Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'. Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was...
  13. JamiiForums Tanzania Najisikia amani kuwa chini ya utawala wa Rais Samia Suluhu hassan

    Huyu mama namkubali sana pamoja na mapungufu yake kama binadamu naona kamzidi mbali mbali sana mtangulizi wake hayati John Pombe Magufuli.Jpm alikuwa anakopa ila akiwa na kipaza sauti anasema serikali inajenga miradi Kwa pesa za ndani.Mama ni muwazi,tunajenga hiki Kwa pesa za wahisani,full...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    ➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa na C/NO yake ya kupatia Mshahara kutoka Hazina (Pay Slip tunazo). ➤ Tukiwa katika ajira tulikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Usahihi Kuhusu Nembo Anayotumia Rais Samia Suluhu

    Je ngao/nembo ya Taifa imebadilishwa? Ni moja kati ya maswali ambayo yanaulizwa sana na wadau wengi wakitaka kufahamu kuhusu nembo inayoonekana kwenye mimbari (podium) ya Rais wa Jamhuri ya Muungano katika siku za karibuni Kimsingi ile si ngao ya taifa bali ni alama ya bendera ya Rais au kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Hakuna Mradi Utakaosimama Chini ya Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Doto Biteko, amewahakikishia Wananchi wa Mkoa Geita kuwa, miradi yote mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya tano, inaendelea kutekelezwa na hakuna mradi utakaosimama. Biteko ambaye ni Mbunge wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Katika laini za simu Milioni 61 zilizopo nchini, ni milioni 33 pekee ndizo hutumia Internet

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini (Submarine Cable) wa 2 Afrika na Teknolojia ya Mawasiliano ya Kasi ya 5G ya Airtel tarehe 10 Agosti, 2023 Mbezi Beach Tanki Bovu - Kituo cha 5G ya Airtel...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia unamharibia Rais Samia nchi, mambo mabaya yameharibikia mikononi mwako

    Nimebaini kuwa adui mkubwa wa Taifa la Tanzania kwa sasa ni Dk.Tulia Ackson ambaye mambo yote machafu yamefia mikononi mwake na taifa likiwa halijua linatokaje kwenye mkwamo huu. Mfano wa mambo yaliyofia mikononi mwa Tulia na Bunge lake. 1. Mkataba wa Bandari Serikali iliupeleka Bungeni tangu...
  19. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

    Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Dr. Tulia amesema Mkoa wa Mbeya ni wakulima hivyo Uwekezaji wa Bandari utasaidia Mazao yao kufika kwenye Masoko kwa haraka. Nanukuu Baada ya kuitaja Bandari, maneno mengi yametoka...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua programu ya uchimbaji wa visima 67,800

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua programu ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya wakulima wadogo 67,850 kwa nchi nzima vitakavyowezesha hekari 2,7014,000 kufikiwa na mfumo wa umwagiliaji. Akitoa maelezo kwa Rais Samia katika kilele cha maadhimisho ya sherehe ya wakulima nane nane kwenye viwanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…