rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuichagua kampuni kutoka Dubai kufanya kazi bandari ya Dar es Salaam

    Bunge la Jamhuri ya Tanzania mwaka huu linatarajia kujadili na kupitisha mkataba wa Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam, Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kumsifia Rais Samia kila usimamapo Mbele yake sio kosa; haikuanza Leo.

    KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa, kumfagilia, kumpepea, na kumpamba ni mambo ambayo yalikuwepo tangu zamani. Wala hatajaanza Kwa hawa Ndugu...
  5. JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Lumbanga asifu ujasiri wa Rais Samia

    Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru kutoka vyama vya siasa kwa manufaa ya nchi pamoja na kuruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano ya...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Hilinti wa KKKT aomba Rais Samia awaongezee Waziri mwingine Mkoa wa Singida

    Askofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo. Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu. Askofu Dr Hilinti...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

    Muda huu Rais wa Yanga amethibitisha Rais Samia ametoa ndege ya kuipeleka Mbeya Timu ya Yanga kumalizia michezo yake ya Ligi Kuu Bara Nadhan Yanga ina vinasaba na serikali. Sent using Jamii Forums mobile app --- Rais Samia Suluhu ametoa ndege maalum kuipeleka Yanga SC jijini Mbeya kwa ajili...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuleta Tabasamu na Matumaini katika mioyo ya Watanzania

    Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania, amekabidhi muda wake katika kuleta Tabasamu, furaha na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ndege mpya ya Mizigo Boeing B767-300F Uwanja cha Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Juni 3, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam - Terminal One. - Rais Samia ameshawasili Uwanjani tayari wa ajili ya zoezi la kupokea ndege ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia na 50/50 ya wanawake katika uongozi

    Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo. Mbali na kuweka wanawake wengi Katika nafasi za uongoz Lakini pia ndio Rais wa kwanza kuteua mwanamke kua...
  14. R

    JamiiForums Tanzania January Makamba anamfanyia hujuma Rais Samia

    Waziri wa Nishati, January Makamba, anamfanyia hujuma za wazi Rais Samia Suluhu Hassan ili kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hujuma yake ilithibitika wakati wa bajeti ya Wizara ya Nishati ya 2023/2024 jijini Dodoma wiki hii ambapo Makamba aligawa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nilimtumainia sana Rais Samia, sasa naanza kukata tamaa

    Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba; 1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe! 2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua. 3. Danadana za Katiba mpya. 4. Naibu Waziri na ajali yenye utata. 5...
  16. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Feitoto? Kuihujumu Yanga wakati huu ni kumhujumu Rais Samia

    Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia. Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma dhidi ya Rais wa Yanga kutoka kwa mzanzibari feitoto ikiwa ni tuhuma nyingine masaa machache dhidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi sawa na kiasi ya kilo 550 za bangi mbichi pamoja na magunia 482 ya aina hiyo ya dawa za kulevya katika eneo la Kisimiri juu kata ya Uwalu, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Ukamataji huo...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe maua yake

    JAMHURI ya Muungano wa Tanzania-Kazi Iendelee. Mei Mosi kulifanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, kama ilivyo kawaida ya siku zote inapofika tarehe na mwezi huo. Kitaifa siku hiyo iliadhimishwa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika sherehe...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameletwa na Mungu. Harufu ya keki ya taifa tumeanza kuihisi katika pua zetu

    Amani iwe juu yenu Watanzania wenzangu! Nimeitafakari vya kutosha nchi yangu mpaka hapa ilipo. Hakuna awezae kuzuia kifo isipokua ni Mungu pekee, raisi wangu mama yetu ameingia madarakani kikatiba baada ya kufariki kwa aliyekuwa raisi wetu John. P. Magufuli, jambo hili linatosha kuthibitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…