rais tinubu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Tinubu wa Nigeria aelekea Paris, Ufaransa wiki mbili kwaajili ya kutafakari kuhusu uongozi wake

    Rais wa Nigeria, Bola Tinubu ameelekea Paris kwa ziara fupi, ambapo atatathmini utendaji wa serikali yake na kutathmini mafanikio ya mageuzi yanayoendelea. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Rais, imesema Rais Tinubu atatumia pia ziara hiyo kupanga mikakati kabla ya maadhimisho ya miaka miwili...
  2. JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais Tinubu aanguka wakati akipanda gari la gwaride

    Rais Bola Tinubu wa Nigeria alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles. Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia ya Juni 12. Haikuwa wazi kutoka kwenye video ya kuanguka kwake kama kutokana na mavazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…