Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu ameelekea Paris kwa ziara fupi, ambapo atatathmini utendaji wa serikali yake na kutathmini mafanikio ya mageuzi yanayoendelea.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Rais, imesema Rais Tinubu atatumia pia ziara hiyo kupanga mikakati kabla ya maadhimisho ya miaka miwili ya utawala wake.
Tinubu ataendelea kufanya kazi na wafanyakazi wake, na atarejea Nigeria baada ya wiki mbili.
Mitano tena kwa Tinubu
Source: Swahili Times