𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗝𝗢Ã𝗢 𝗟𝗢𝗨𝗥𝗘𝗡Ç𝗢 𝗪𝗔 𝗔𝗡𝗚𝗢𝗟𝗔 𝗔𝗛𝗜𝗧𝗜𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔, 𝗔𝗢𝗡𝗗𝗢𝗞𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜
Rais wa Jamhuri ya Angola, Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, amehitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini na kuondoka kurejea nchini Angola, Oktoba 30, 2026.
Katika ziara hiyo, Rais Lourenço alifanya...