Wakuu
Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake.
Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.