rais wa burkinafaso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MFANO MZURI: Sababu Mojawapo ni Bora Jeshi Lichukue Nchi

    Kila anayevuta kamba anaangalia eneo lake ili ale kwa kutulia ikiwa ndefu. Mwingine anakwambia 'hujui hasara za kiuchumi Jeshi kuchukua nchi, yaani blah blah ni nyingi sana. Wajeda wenye akili wanafanya mambo mazuri tena kwa haraka kuinua uchuni na kuijenfa nchi kwa faida ya kila mtu, ila...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Traore asingekuwa Rais, kwa kipaji hiki unadhani angesajiliwa na timu gani?

    Kapteni Ibrahim Traoré ambaye ni rais wa Burkina Faso alikutana na magwiji wa soka la Afrika na kufanya mazoezi ya pamoja. Soma pia: Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye Soka akiwa na Jay-Jay Okocha na Adebayor
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ibrahim Traoré Rais wa Burkina Faso amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Nishati

    Wakuu Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
Back
Top Bottom