PostGE2025 MFANO MZURI: Sababu Mojawapo ni Bora Jeshi Lichukue Nchi

PostGE2025 MFANO MZURI: Sababu Mojawapo ni Bora Jeshi Lichukue Nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
Kila anayevuta kamba anaangalia eneo lake ili ale kwa kutulia ikiwa ndefu.

Mwingine anakwambia 'hujui hasara za kiuchumi Jeshi kuchukua nchi, yaani blah blah ni nyingi sana.

Wajeda wenye akili wanafanya mambo mazuri tena kwa haraka kuinua uchuni na kuijenfa nchi kwa faida ya kila mtu, ila mwanasiasa anataka kutengeneza faida kwake na ukoo wake.

Huyu hapa African model Military President Ibrahim Traole, anachofanya political leader can't walk inside the same house kwa haraka na usalama.

1000060550.jpg

• Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré siku ya Jumatatu alikua mkuu wa kwanza wa nchi wa Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES) kupokea kitambulisho cha kibiometriki cha umoja huo.

Hiyo ni hatua ya mfano lakini inayoonekana katika harakati nzima ya Sahel ya kujenga uraia mmoja na uhuru wa kitaasisi kufuatia kujiondoa kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS).

Kadi hiyo ilikabidhiwa na waziri wa usalama wa nchi hiyo, Mahamoudou Sana kuashiria kuanza kwa usambazaji mpana katika nchi wanachama wa AES.

Kumbuka mnamo Novemba 6, 2025, Baraza la Mawaziri la Burkina Faso liliidhinisha rasmi uzinduzi wa kitambulisho cha kibiometriki cha AES, hatua muhimu katika kuboresha mfumo wa utambulisho wa nchi hiyo.

Deep story zaidi hii hapa...
 
Jeshi hawawezi kufanya kitu kama hiko kwa nchi yetu
 
Nchi ilikuwa chini ya jeshi kwa siku kadhaa walitoa amri zao na wengi hatukuzifuata hadi sasa tunalalamika. Acha kuombea kitu usichokijua kwa sababu fulani amesema.
Jeshi likichukua nchi ina maana utaishi kwa amri za kijeshi, je uko tayari kuzifuata?
Ilikuwa chini ya polisi aya uko bukinave wanapewa amri izo acha uzwazwa
 
Nchi ilikuwa chini ya jeshi kwa siku kadhaa walitoa amri zao na wengi hatukuzifuata hadi sasa tunalalamika. Acha kuombea kitu usichokijua kwa sababu fulani amesema.
Jeshi likichukua nchi ina maana utaishi kwa amri za kijeshi, je uko tayari kuzifuata?
Huu Uhuru wa kawaida umewashinda mkichanganyiwa na marshal law mtatoboa? Kuna watu wanatamani wasivyovijua.
 
Ubaya ni kwamba jeshi letu lina vinasaba vya udikteta! Huko Burkina faso alikuwepo jamaa mmoja anaitwa Thomas Sankara ambae aliwaonesha wanajeshi njia ya kufuata endapo wakipindua nchi! Hivyo vinasaba vyake vipo ndani ya jeshi! Sasa huku kwetu hatuna jeshi bali watetezi wa madikteta na ikitokea wakapindua nchi, watakuwa kama Mobutu!
 
... Jeshi likichukua nchi ina maana utaishi kwa amri za kijeshi, je uko tayari kuzifuata?
Shida kubwa mliyonayo watu kaa wewe ni hiyo hapo ☝🏾uliyoandika.

Kwa ufupi, kwenye vitabu vya dini wanaambiwa ukiwa eneo 'dhaifu' na hamna chakula ila akawepo nguruwe kula.

Sasa wewe unakuja na hiyo hoja dhaifu ya kuogopa kufuata amri za kijeshi eeeh 🤔!!?.

Unapotafuta mali 'dhahabu' chini ya mwamba alafu ukaogopa kudondokewa na mwamba basi wewe huwezi kupata dhahabu.
 
Katika watu ambao ukitaka kuwa Yuda anasubiri ni watanzania.
JWTZ nimeliona kama Kikundi cha ngoma za asili.
 
Tafuta kazi ya kufanya bado una akili za kitumwa ,tafuta elimu kwanza sio kwenda kwenye nchi za watu halafu unajifanya mzalendo.

Wanajeshi wana mahesabu yao je wao wanaonaje ...Ukitaka ujue zaidi huo mchezo ulianza 2010 basi kukafanyika jambo hapo maana mtaalamu alikuwa anasikia minong'ono na alikuwa huko.

Kama hujui yote hayo ni siasa na hakuna shutuma za kweli,mkiendelea kukaza shingo na uthenge wenu keshokutwa mtakuja kudai miili yenu.
 
Back
Top Bottom