Wakuu,
Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendelee
===============================
Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta, anatafutwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Maalum ili ajibu tuhuma za rushwa.
Tangazo hilo...
Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali.
Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
Wakuu,
Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa.
Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
Wakuu,
Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia.
Jarida la Punch, limedokeza kuwa mlinzi huyo alianguka muda mfupi tu baada ya Rais huyo anayemaliza muda wake kuanza kuhutubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.