rais wa ghana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana: Mkataba wa Marekani ulitaka tutoe taarifa za wagonjwa wetu na dawa zao kutokaguliwa, ilikuwa ni jambo la kudhalilisha

    Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Septemba 28, 2026, na Council on Foreign Relations (CFR), Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameeleza sababu zilizofanya nchi hiyo kukataa haraka mkataba wa Msaada wa afya uliopendekezwa na Marekani. Akijibu swali kuhusu uhuru wa Ghana katika masuala...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Rais anamkaribisha Rais Wa Ghana kufungua mwaka wa mahakama ya Afrika huku Tanzania ilishajiondoa ili Raia wasifungue kesi

    Tanzania ilijiondoa kupitia ibara 36(4) yq optional protocol to African court of human rights. Ikipinga raia na non governmental kwenda kuishitaki moja kwa moja kwenye hii mahakamama. Hii ni kwa sababu kesi nyingi dhidi ya serikali ya CCM juu ukiukwaji wa haki za binadamu ziliibuka na kuiabisha...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana afutilia mbali posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wanaoteuliwa

    Wakuu, Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali na kuelekeza fedha za umma kwenye kuboresha sekta za afya, elimu na kwenye serikali za mitaa...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ghana: Waziri wa Fedha adaiwa kukimbia nchi kwa tuhuma za rushwa. Ofisi ya mwendesha mashtaka inamsaka kumpeleka mahakamani

    Wakuu, Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee =============================== Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta, anatafutwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Maalum ili ajibu tuhuma za rushwa. Tangazo hilo...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali. Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Msaidizi wa Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo azimia na kuanguka jukwaani wakati kiongozi huyo akiwa anahutubia

    Wakuu, Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia. Jarida la Punch, limedokeza kuwa mlinzi huyo alianguka muda mfupi tu baada ya Rais huyo anayemaliza muda wake kuanza kuhutubia...
Back
Top Bottom