Rais wa Ghana afutilia mbali posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wanaoteuliwa

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali na kuelekeza fedha za umma kwenye kuboresha sekta za afya, elimu na kwenye serikali za mitaa.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu Tarehe 15 Julai, 2025 na msemaji wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Mawasiliano ya Serikali, Felix Kwakye Ofosu, imeeleza kuwa uamuzi huo ni sehemu ya juhudi za makusudi za serikali ya Ghana kubana matumizi na kuimarisha nidhamu ya pesa za mlipa kodi .

Hata hivyo, upande wa upinzani bungeni haujapokea vizuri hatua hiyo, ambapo Mbunge wa Akuapem Kakazini, Sammy Awuku, amesema uamuzi huo ni mbinu ya Rais Mhama kujipatia umaarufu na kujiongezea mvuto kwa wananchi.

=========================================

President John Dramani Mahama has, with immediate effect, cancelled the payment of fuel allowances and the allocation of fuel to all political appointees, as part of broader efforts to reduce government expenditure and promote fiscal discipline.

The announcement was made in a statement issued by the Minister for Government Communications and Presidential Spokesperson, Felix Kwakye Ofosu, on Tuesday, July 15, 2025.

According to the statement, the directive is part of a wider cost-cutting strategy under the Mahama administration’s Reset Agenda, aimed at channeling public funds into priority sectors and essential national development needs.

“The President believes that leadership must also bear its part of the sacrifices it is calling on the people to make,” the statement said.

The cancellation of fuel benefits comes in the wake of earlier austerity measures announced by the government, including a reduction in the size of government, fewer ministerial appointments, and the suspension of satellite TV subscriptions for offices at the Presidency and other government institutions.

Source: NewsCentral Africa, Ghana Web
 
Atasababisha ongezeko la wizi na ufisadi katika sekta za umma. We unadhani mafuta ya hayo magari watatoa wapi kama si kufanya ufisadi ili kazi zifanyike?
 
Watapanda bajajy wallah!!yale mashauzi ya ma V8 nivile wese la bure
 
Hao wateule waachane na hayo magari ya serikali,watumie usafiri wa umma
Kuna rais hapa kwetu alifuta staftahi ofisi za umma,futa hela za mafuta la hivyo,umeme,stationaries etc,matokeo yake ufanisi ukawa hakuna,nani atoe hela yake kulipia luku ofisini, stationaries na mafuta ya bwana shamba kuzungukia wakulima vijijini!?..
 
Back
Top Bottom