rais wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Rais wa nchi yoyote ile duniani Kurudia Nguo ni kutokana na Ukata wa nchi yake au ni Takwa la Mganga wa Kienyeji?

    Najiandaa kusoma tu Comments za Wandewa na Wajuvi wa Mambo hapa JamiiForums.
  2. Suzy Elias

    Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi shtuka hakuna kiongozi hapo

    Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi. Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo; ....uongozi duni. ....huduma za jamii kulemaa. ....upungufu wa umeme. ....ufisadi kutamalaki. ....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi...
  3. Boss la DP World

    Msafara wa Rais wa Nchi ya Africa Vs Waziri Mkuu wa Japan

    Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano. Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
  4. Mhaya

    Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
  5. S

    Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

    Kama Raia wa nchi anaweza kuanzisha ofisi yoyote na ikawa halali kikatiba, vipi siku Rais akiamua kuanzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mwenza wake au mtu mwingine yoyote yule kushika wadhifa huo, si pia atakuwa sahihi? Hata kama Katiba yetu inatambua Tanzania sio nchi ya kifalme...
  6. Shark

    Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

    Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha. Sasa wewe Uto endelea kubisha na kuita sijui Abiola Cup. Kwanza unaweza kushitakiwa kwa uhainin Kwa kuonekana...
  7. S

    Rais Samia yuko wapi?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais? Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
  8. S

    Hivi ni nani anawatetea wafanyakazi sekta binafsi ukizingatia Rais wa nchi hii ni moja?

    Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake aliwaahidi wafanyakazi wa sekta ya umma mambo mengi mazuri ikiwamo annual increment yaani nyongeza za...
  9. TODAYS

    Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

    Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake. Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza kunyesha, no mwamvuli na shadow! ☝🏾Baada ya kukagua gwaride. ☝🏾Akiwa anakagua huku akinyeshewa mvua...
  10. D

    Ni Tanzania tu Rais wa Nchi anaitwa mpendwa naye kuchekelea!

    Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo! Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi na watu wake Kwa hapa Tanzania kama Julius Nyerere lakini hatukuwahi kusikia akiitwa "Rais wetu...
  11. Carlos The Jackal

    Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

    Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga. Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
  12. GENTAMYCINE

    Rais wa nchi yoyote kutumiwa salamu siku yake ya kuzaliwa na vyombo vya habari nchini ni lazima au kujipendekeza?

    Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal. Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
  13. L

    Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
  14. M

    MASTORI YA OSCAR: Kwanini Ofisa Habari wa klabu amzidi hadi Rais wa nchi kuongea?

    MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu. Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
  15. technically

    Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii. Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa. Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will...
  16. Mufti kuku The Infinity

    Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

    Rejea kichwa tajwa hapo juu Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude? Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana Huyu ndio...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Rais wa Nchi ya Senegal ampongeza Pape Sakho

    Tunaendelea kupokea pongezi kila kona ya dunia. Safari hii tumepokea pongezi toka ikulu ya Senegal kupitia kwa Rais Sall.
  18. Championship

    Hivi ilikuwaje Rais wa nchi akaenda kuigiza akiwa bado madarakani?

    Hiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza. Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni...
  19. L

    Lwaitama: Sishangai Msigwa kumsifia Rais wa nchi hasa wa CCM

    mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi. Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
  20. Komeo Lachuma

    Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
Back
Top Bottom