Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi mkuu wa jeshi pamoja na waziri wa fedha aliyekuwa ameapishwa chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa mujibu wa taarifa ya vyombo vya habari vya serikali iliyotolewa Jumatano usiku.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa mabadiliko ya mara kwa mara ndani ya...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemuachisha kazi waziri wa fedha na mkuu wa majeshi ikiwa ni muendelezo wa mabadiliko ambayo amekuwa akiyafanya katika utawala wake.
Waziri Salvatore Garang Mabiordit ameachishwa kazi kama waziri wa fedha miezi mitatu baada ya kuteuliwa katika wadhifa huo, huku...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfuta kazi Spika wa Bunge la nchi hiyo, Jemma Nunu Kumba pamoja na Naibu wake, Permena Awerial Aluong, kupitia amri iliyosomwa bungeni Jumanne.
Tangazo hilo limetolewa jana Jumanne Aprili 6, 2026 na mkuu wa wabunge wa chama tawala cha Sudan People’s...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.