Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
Polisi inawashikilia watu wawili Kwa kupanga njama za kumdhuru Rais wa Zambia, Haikande Hichilema Kwa njia za ushirikina.
Watuhumiwa hao ni Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri wanaodaiwa kutumwa na Nelson Banda,mdogo wa mbunge anayekabiliwa na tuhuma za wizi Jay Jay Banda kumroga...
Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana.
Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani:
Nchi ni Rais. Rais ni nchi.
Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.
Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅
Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.
Kampeni zote zina reflect...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi.
Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝
Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga.
Refer tetemeko la ardhi Kagera.
Wamasai wa Ngorororo waliokubali kuhamishwa serikali iliwahamisha bure na kuwapa makazi ya...
Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema
Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo...
Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG.
Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema.
Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha...
Ukiangalia mambo ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini nafikiri utakubaliana na Rais Samia kuwa waTanganyika hawahitaji KATIBA MPYA
Wanachotaka ni kuwepo kwa Uhakika wa chakula uwepo wa ajira pamoja na gharama za maisha kuwa chini...
Wengi wao wanaotaka katiba mpya ni wale waliopo kwenye siasa...
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SOMALIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kufuatia mwaliko wa Rais huyo yaliyofanyika...
Wakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. James Wilbert Kaji...
Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30.
Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza...
Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm
After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
Naomba upendekeze memes unazodhani zinafaa kupeleka salamu kwa rahis wetu kistaarabu ili ajue nasi tuna akili mbali na mawazo yetu ambayo yanaweza kumsaidia kurekebisha au kuboresha mambo. Namshukuru rais kwa fursa hii :D :D :D :D :D :D.
Je wewe unasemaje mwanangu?
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.