rais

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  2. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameongeza TZS 700B kwenye kilimo ilikulikabili tatizo la ajira kwa vijana wetu, Bajeti yafikia TZS 954B toka TZS254B

    MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  4. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia umebadilishwa?

    Tangu akiwa ziara ya Arusha alipokutana na wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa yupo mkoani Mbeya, nimegundua kama ulinzi umebadilika kiaina. Zamani tulizoea kuona jammer car katika msafara wa Rais lakini kwasasa gari lile halionekani kabisa. Pia wale jamaa zetu wenye silaha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi mwenye maono sana

    Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza. Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Madarasa 8000+ ya Sekondari kujengwa kabla ya 2023

    Akiendelea na ziara mkoani Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, pamoja na Wakuu wa Wilaya kuanza kujipanga kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya 8,000 kwa ajili ya shule za Sekondari ambayo yatahitajika...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji nchini mwisho 2025, Rais Samia anatekeleza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mbalimbali nchini. Amesema anatambua matatizo yanayowakabili kina mama kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo muhimu hivyo Serikali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea na ziara mkoani Mbeya

    MHE. RAIS SAMIA ANAENDELEA NA ZIARA MKOANI MBEYA. LEO NI ZAMU YA CHUNYA, KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO. Leo Jumamosi Agosti 06, 2022 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaingia siku ya Pili ya ziara yake Mkoani Mbeya aliyoianza Jana. Leo ni zamu ya Wilaya ya Chunya ambapo Rais Samia...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

    Wasalaam, Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa chini hadi yule ya juu, Rais ameenda mbali kwa kutumia msemo maarufu wa vijana "Wanikizingua...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Barabara ya Chunya - Makongorosi (km 39) - Chunya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua barabara ya Chunya - Makongorosi (Km 39) na kuzungumza na wananchi wa Chunya- Matundasi katika mkutano wa hadhara leo tarehe 06 Agosti, 2022.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Karia kutohudhuria siku ya Mwananchi

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao wamemualika Rais wa CAF kwenye siku yao ya Simba Day. "Nawapongeza Yanga kumualika kocha mkubwa Afrika, Pitso Mosimane pia nimesikia Simba nao...
  13. JamiiForums Tanzania Simba yampa mwaliko Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi Simba Day 2022

    Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya Ethiopia, kwenye Uwanja wa Mkapa, Jumatatu Agosti 8, 2022. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwasalimia wananchi wa Chalangwa wa Mkoa wa Mbeya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Chalangwa Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Waziri wa Fedha, Gavana Benki Kuu

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur. Baada ya uamuzi huo ambapo sababu hazijawekwa wazi, Rais Kiir amemteua Gavana wa zamani Dier Tong...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu Mbeya karibu sana Mbarali uone uchapakazi uliotukuka wa Viongozi wetu wa Wilaya

    Mama nakusalimu kwa jina la JMT, Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation" Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii, Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa...
  17. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa maafisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  19. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais wapitishwe Jeshini kupata mafunzo

    Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao. Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa ombi la kuipandisha hadhi Mbalizi kuwa Halmashauri ya mji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali anayoiongoza haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini. Rais Samia ametoa msimamo huo leo Ijumaa Agosti 5, 2022 akiwa Mbalizi mkoani Mbeya baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…